Skip to content

1995 Quote by Enock Maregesi

“Lazima kuna mtu, si kitu, mwenye akili ya kupindukia, aliyeanzisha kila kitu kinachoonekana ulimwenguni. Mwaka 1995 wanasayansi waligundua kitu kilichowashtua kuliko kitu kingine chochote kile katika historia ya uwepo wao. Waligundua kuwa ulimwengu unaongeza mwendo wa kupanuka katika pande zote…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Lazima kuna mtu, si kitu, mwenye akili ya kupindukia, aliyeanzisha kila kitu kinachoonekana ulimwenguni. Mwaka 1995 wanasayansi waligundua kitu kilichowashtua kuliko kitu kingine chochote kile katika historia ya uwepo wao. Waligundua kuwa ulimwengu unaongeza mwendo wa kupanuka katika pande zote nne za ulimwengu – kwa mwendokasi wa maili milioni mbili kwa saa! Nini kinasababisha ulimwengu uongeze mwendo kiasi hicho badala ya kuupunguza? Ni nini hicho ambacho ulimwengu unapanukia? Mpaka sayansi ijibu maswali hayo na mengineyo mengi, kama vile kitendawili cha ‘standard model’ na chembe ya ‘boson’ inayofanya kila kitu ulimwenguni kuwa na uzito, nitaendelea kuamini kuna Mtu anayesababisha yote hayo kutokea.””

Enock Maregesi

About This Quote

The quote reflects on the mystery of what drives the universe’s expansion and the search for a fundamental cause beyond known particles.

In simple terms: It questions why the universe expands so fast and seeks a deeper source.

Key Takeaway

Consider exploring beyond current scientific models.

Themes

cosmology science philosophy inquiry

Mood

curious thoughtful

Type

inspirational philosophical

When to use this quote

  • academic research
  • philosophical debate
  • public science communication

Key Concepts

expansion standard model mass fundamental cause

Questions to Reflect On

  • What could be the ultimate cause of cosmic expansion?
  • How do current theories limit our understanding?
2.3 out of 5 (9 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More 1995 quotes

Browse all 8 1995 quotes