Skip to content

5th-dimension Quote by Enock Maregesi

“Hata hivyo, toka mwaka 1995 watu wengi walianza kuamka kiroho dunia nzima; na mwaka 2012 waliamka zaidi, pale ulimwengu ulipoanza kuhama kutoka kwenye masafa ya ngazi ya nne ya ufahamu wa binadamu (‘4th dimension’) kwenda kwenye masafa ya ngazi ya tano ya ufahamu wa binadamu (‘5th dimension’)…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Hata hivyo, toka mwaka 1995 watu wengi walianza kuamka kiroho dunia nzima; na mwaka 2012 waliamka zaidi, pale ulimwengu ulipoanza kuhama kutoka kwenye masafa ya ngazi ya nne ya ufahamu wa binadamu (‘4th dimension’) kwenda kwenye masafa ya ngazi ya tano ya ufahamu wa binadamu (‘5th dimension’) inayohusika zaidi na ulimwengu wa roho na ambayo bado inaendelea kuhama mpaka dakika hii. Ndiyo maana watu wengi zaidi wanamjua Mungu kipindi hiki kuliko kipindi kingine chochote kile katika historia ya dunia yetu. Kwa sababu hiyo, Shetani hatashinda.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Speech: Spiritual Awakening Discourse, 2015, Kenya

Human consciousness has shifted from a fourth‑dimensional awareness to a fifth‑dimensional spiritual focus, increasing belief in God and diminishing demonic influence.

In simple terms: Human awareness is moving to a higher spiritual level, boosting faith and weakening evil.

Key Takeaway

Embrace higher consciousness to strengthen faith.

Themes

spirituality consciousness faith good vs evil

Mood

hopeful reflective

Type

philosophical inspirational

When to use this quote

  • personal meditation
  • community worship
  • educational seminars
  • media broadcasts

Key Concepts

dimensional shift collective awakening theology

Questions to Reflect On

  • How does higher consciousness affect daily decisions?
  • What practices support this spiritual evolution?
A Different Perspective

Not all societies experience this shift uniformly; cultural resistance may persist.

4.5 out of 5 (10 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More 5th-dimension quotes

Browse all 2 5th-dimension quotes