Skip to content

Boarding school Quote by Enock Maregesi

“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa na maono na utambuzi wa vitu mbalimbali na watoto katika umri huo wanao uwezo wa kuchambua dhana kadha wa kadha za kinadharia na hali kadhalika wanao uwezo wa kuchambua nadharia…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa na maono na utambuzi wa vitu mbalimbali na watoto katika umri huo wanao uwezo wa kuchambua dhana kadha wa kadha za kinadharia na hali kadhalika wanao uwezo wa kuchambua nadharia tata zisizokuwa na hakika na hata zile zenye hakika zisizokuwa tata, kabla hujamkabidhi kwa dunia. Ukimkabidhi mtoto wako kwa dunia kabla ya umri wa miaka kumi na tatu, kama vile kumpeleka katika shule ya bweni au kumpeleka akalelewe na watu wengine ambao si wazazi wake, yale ambayo hukumfundisha atafundishwa na ulimwengu. Mpeleke mtoto wako katika shule ya bweni au kuishi na watu wengine akiwa amefundishwa maadili mema. Kinyume cha hapo atafundishwa na shule au watu wengine kwa kudharauliwa, kuchukiwa na kuadabishwa.””

Enock Maregesi

About This Quote

Teach children moral values early, fostering critical thinking and ethical analysis as they grow.

In simple terms: Teach kids morals early for critical thinking.

Key Takeaway

Instill values and critical thinking early.

Themes

education morality critical thinking child development

Mood

caring instructive

Type

advisory inspirational

When to use this quote

  • parenting
  • school curriculum
  • early childhood education

Key Concepts

pedagogy ethics

Questions to Reflect On

  • How can parents teach morals without stifling curiosity?
  • What methods promote critical thinking in young children?
A Different Perspective

Balancing moral guidance with open inquiry can be challenging.

2.5 out of 5 (6 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Boarding school quotes

Browse all 141 Boarding school quotes