“Hata hivyo, toka mwaka 1995 watu wengi walianza kuamka kiroho dunia nzima; na mwaka 2012 waliamka zaidi, pale ulimwengu ulipoanza kuhama kutoka… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tuko peke yetu ulimwengu mzima halafu bado tunagombana na kudharauliana!” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunazaliwa na kufa. Lakini hatujui tunakotoka. Wala hatujui tunakokwenda. Huenda tunatoka na kwenda katika dunia nyingine, ya ulimwengu mwingine, hivyo kutufanya wageni… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Lazima kuna mtu, si kitu, mwenye akili ya kupindukia, aliyeanzisha kila kitu kinachoonekana ulimwenguni. Mwaka 1995 wanasayansi waligundua kitu kilichowashtua kuliko kitu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sayari yetu hujulikana kama Dunia na jua letu hujulikana kama Sol. Dunia imo ndani ya mfumo wa jua wa Sol. Mfumo wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna mambo yanatokea hapa ulimwenguni ambayo yanafanya nikiri uwepo wa Mungu kwa asilimia kubwa. Wanasayansi wanasema ulimwengu ulianzishwa na mlipuko wa ‘Big… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanasayansi wana uwezo wa kupeleleza hadi kipindi cha karne ya kwanza ambapo Yesu aliishi, alikufa, alifufuka na alipaa kwenda mbinguni, na wana… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwaza kitu kwa dakika moja na sekunde nane – huu ni utafiti wangu tu – hicho kitu kitaanza kujiumba kwa ajili yako… — Enock Maregesi Copy Share Image