Skip to content

Baby Quote by Enock Maregesi

“Watoto hupenda vitu vinavyong’aa ambavyo havijatulia na vilivyopangiliwa vizuri. Hivyo ndivyo macho ya binadamu yalivyo: yana unyevu na yanaakisi mwanga, hayajatulia, na yana rangi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kope na vigubiko vya macho ambavyo pia hazijatulia. Mtoto mchanga hasa yule…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Watoto hupenda vitu vinavyong’aa ambavyo havijatulia na vilivyopangiliwa vizuri. Hivyo ndivyo macho ya binadamu yalivyo: yana unyevu na yanaakisi mwanga, hayajatulia, na yana rangi kadha wa kadha ikiwa ni pamoja na kope na vigubiko vya macho ambavyo pia hazijatulia. Mtoto mchanga hasa yule anayeona vizuri huangalia macho pale anapopata nafasi, kwa maana ya kuyashangaa. Vilevile, huangalia macho kwa maana ya kupokea molekuli ya maadili au homoni inayorahisisha maisha kutoka kwa mama yake iitwayo ‘oxytocin’. ‘Oxytocin’ husisimua ubongo wake na kuutayarisha kupokea neno lolote litakalosemwa na mama yake mzazi au mama yake mlezi.””

Enock Maregesi

About This Quote

Source Essay: “The Biology of Perception” by Enock Maregesi, 2022

Children’s eyes are clouded by ignorance; they seek truth like light, guided by hormones that shape understanding.

In simple terms: Kids see the world through limited lenses, seeking truth.

Key Takeaway

Encourage curiosity and critical thinking.

Themes

ignorance perception growth

Mood

thoughtful inquisitive

Type

philosophical educational

When to use this quote

  • education
  • parenting
  • media literacy

Key Concepts

neuroscience developmental psychology

Questions to Reflect On

  • How does curiosity shape your worldview?
  • What habits you help see beyond biases?
A Different Perspective

Biological drives can bias perception, limiting objectivity.

2.2 out of 5 (4 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Baby quotes

Browse all 4,681 Baby quotes