Skip to content

Bad Quote by Enock Maregesi

“Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja linatengenezwa na viungo vidogovidogo zaidi ya milioni mbili, vinavyofanya kazi kwa pamoja bila kukosea. Macho yana nguvu ya ajabu. Huu ni wito kwa akina mama wanaonyonyesha: Usizungumze…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Jicho ni kiungo cha ajabu zaidi kuliko viungo vyote katika mwili wa mwanadamu baada ya ubongo. Jicho moja linatengenezwa na viungo vidogovidogo zaidi ya milioni mbili, vinavyofanya kazi kwa pamoja bila kukosea. Macho yana nguvu ya ajabu. Huu ni wito kwa akina mama wanaonyonyesha: Usizungumze maneno mabaya mtoto wako mchanga anapokuangalia machoni wakati ananyonya ziwa lako. Neno lolote utakalomwambia, zuri au baya, pamoja na kwamba amekuwa akisikia sauti yako kwa miezi kadhaa akiwa tumboni, litajirekodi katika akili yake isiyotambua bila wewe au yeye mwenyewe kujua. Neno hilo litakuja kumuathiri baadaye atakapokuwa mkubwa. Atakapopevuka, atakapokuwa na uwezo wa kupambanua mambo, atakuwa anaota na kuwaza kile ambacho ulikuwa ukimwambia alipokuwa tumboni; na alipokuwa akinyonya na kukukodolea macho.””

Enock Maregesi

About This Quote

A child's early exposure to words shapes their mind, influencing future thoughts and values.

In simple terms: Early words affect later mind.

Key Takeaway

Speak positively to children.

Themes

development language influence

Mood

nurturing thoughtful

Type

inspirational educational

When to use this quote

  • parenting
  • teaching
  • child development
  • family communication

Key Concepts

neuroscience early childhood education

Questions to Reflect On

  • What words do you share daily?
  • How can you model values through speech?
A Different Perspective

Children may misinterpret or forget early messages.

2.6 out of 5 (4 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Bad quotes

Browse all 7,973 Bad quotes