“Serikali haishirikiani na huruma katika kufanya maamuzi yake. Inashirikiana na akili.” — Enock Maregesi Akili Copy Share Image
“Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.” — Enock Maregesi Dumb Copy Share Image
“Kushirikiana na maadui wa nchi yetu ni hatia ya kosa la uhaini. Adhabu yake ni kifo, au kifungo cha maisha.” — Enock Maregesi Betrayal Copy Share Image
“Gluttony is the act of digging a grave with your own teeth.” — Enock Maregesi Death Copy Share Image
“Mtu akikupigia simu analia mwambie anyamaze na amshukuru Mungu. Imani ya Mungu ni kubwa kuliko matatizo aliyoyapata.” — Enock Maregesi Blessings Copy Share Image
“Ufalme wa Mungu umo ndani ya mioyo yetu; dunia yetu imo ndani ya vichwa vyetu, visogoni mwetu.” — Enock Maregesi God-s-kingdom Copy Share Image
“Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.” — Enock Maregesi Attitude Copy Share Image
“Yapo mambo mabaya, na yapo mambo mazuri, ambayo wakoloni walituletea. Chukua mazuri, acha mabaya.” — Enock Maregesi Bad things Copy Share Image
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.” — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele… — Enock Maregesi Actions Copy Share Image
“Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika maisha, fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa… — Enock Maregesi Las vegas Copy Share Image
“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.” — Enock Maregesi 100 Copy Share Image
“Watu wanaohatarisha maisha yao kwa kudharau sheria wakati mwingine hawatakiwi kudharauliwa. Ni sawa na mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake. Wana… — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake… — Enock Maregesi Betrayal Copy Share Image
“Bara la Afrika ni tajiri kwa rasilimali kuliko mabara yote duniani. Lakini ni maskini kuliko mabara yote. Cha muhimu si kuwa na… — Enock Maregesi African continent Copy Share Image
“Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?" "Nitajibu." "Usipojibu?" "Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa. "Utanifanya chochote utakachotaka." "Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.” — Enock Maregesi Colour Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua… — Enock Maregesi Hell Copy Share Image
“Unapofikia hatua ya kuwa na kila kitu katika maisha, unapokuwa umefanya kila kitu ulichotamani kufanya katika maisha, unakuwa na bahari nzima ndani… — Enock Maregesi Drop Copy Share Image
“Kuna aina tatu za upendo hapa ulimwenguni. Kuna upendo wa ‘agape’, upendo kati ya Mungu na binadamu na kati ya binadamu na… — Enock Maregesi Agape love Copy Share Image
“Hata hivyo, toka mwaka 1995 watu wengi walianza kuamka kiroho dunia nzima; na mwaka 2012 waliamka zaidi, pale ulimwengu ulipoanza kuhama kutoka… — Enock Maregesi 5th-dimension Copy Share Image
“Mateso yalishakuwa mengi, na Murphy alishakata tamaa. Kesho yake alitamani sana aione lakini hakukuwa na dalili yoyote ya maadui kumwacha hai. Walivyomning’iniza… — Enock Maregesi Criminals Copy Share Image
“Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wanaweza kutawaliwa. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wanaweza… — Enock Maregesi Anger Copy Share Image
“Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa… — Enock Maregesi Abra Copy Share Image
“Binti yako mwenye umri wa miaka kumi na nne kwa mfano, anaomba umnunulie gari kama ulivyofanya kwa kaka yake mwenye umri wa… — Enock Maregesi 18 Copy Share Image
“Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!” — Enock Maregesi Bureaucracy Copy Share Image
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.” — Enock Maregesi Employment Copy Share Image
“Shetani akikupa hela chukua. Hiyo hela ameiiba kutoka kwa Baba. Ukishaichukua, toa zaka.” — Enock Maregesi Baba Copy Share Image
“Kama baba yako hakukufundisha kwamba kuiba ni kitu kibaya, dunia itakufundisha kwa kukuchukia.” — Enock Maregesi Yang Copy Share Image
'I am' is the shortest and most complete sentence in the English language. — Enock Maregesi English language Copy Share Image
“Mungu ni mwandishi wa hadithi ya maisha yangu na ndiye anayeandika ukurasa wa mwisho.” — Enock Maregesi Author Copy Share Image
“Ndoto yako haitakufa mpaka utakapokufa. Usikate tamaa, kabisa!” — Enock Maregesi Die Copy Share Image
“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.” — Enock Maregesi 88 Copy Share Image
“Komando hata akiwa na kizibo cha bia usimruhusu awe nacho. Anaweza kukutoa shingo.” — Enock Maregesi Neck Copy Share Image
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” — Enock Maregesi Akili Copy Share Image
“Elimu ni ufunguo wa maisha lakini wengine funguo zao zina kutu!” — Enock Maregesi Education Copy Share Image
“Watu wakiwa wamekasirika ongea nao jibu; usiongee nao tatizo.” — Enock Maregesi Answer Copy Share Image
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” — Enock Maregesi Fursa Copy Share Image
“Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.” — Enock Maregesi Africa Copy Share Image
“Government is not moved by sympathy. It is moved by ingenuity.” — Enock Maregesi Government Copy Share Image