Akili Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Serikali haishirikiani na huruma katika kufanya maamuzi yake. Inashirikiana na akili.”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 2.6 out of 5 (10 ratings) Copy quoteShare Akili Decisions Government Huruma Ingenuity Maamuzi Serikali Sympathy
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Baada ya Adam na Hawa kutenda dhambi katika bustani ya Edeni, kila mtu anayezaliwa anazaliwa katika dhambi. Kwa hiyo dhambi hutokana na maisha, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ndugu zangu, malaika wanatulinda. Wako katikati ya maadui zetu na sisi. Hatujui ni mara ngapi malaika wameingilia kati kuokoa maisha yetu, kutuepusha na nguvu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna ndoto za mchana na kuna ndoto za usiku. Ndoto za mchana ni maono ya kile ambacho roho inatamani kuwa. Ndoto za usiku ni… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama ulikuwa ukimwambia mwanao kuwa atakuwa jambazi labda kwa sababu ya fujo zake alipokuwa mdogo, mambo mengi atakayokuwa anayafikiria au anayaota atakapopevuka akili ni… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.” — Enock Maregesi Copy Share Image