“Siri ya mafanikio yako ni chumba chako. Dali linasema anga ndicho kipimo cha kufikiria; Dirisha linasema utazame nje uone fursa zilizopo ulimwenguni;… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Abra maana yake ni fursa. Kwa hiyo, geuza matatizo yako kuwa fursa. Lakini, utageuzaje matatizo yako kuwa fursa? Kugeuza matatizo yako kuwa… — Enock Maregesi Copy Share Image