“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Heart Copy Share Image
“Ukiwa karibu na Mungu utakuwa na maarifa kuliko profesa, Mungu ana maarifa kuliko profesa.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mtu akikupa pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kibaya chukua. Kisha ipeleke polisi, ambapo utatoa taarifa zake pia.” — Enock Maregesi Bad thing Copy Share Image
“Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko Injili. Mungu hasisimuliwi na matatizo yako. Anasisimuliwa na imani yako.” — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Kupata kitu ambacho hujawahi kupata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya.” — Enock Maregesi Nightmare Copy Share Image
People don't follow ordinary people; they follow extraordinary people. — Enock Maregesi Extraordinary people Copy Share Image
“Kucheza muziki si lazima utingishe mwili kama mwendawazimu. Unaweza kucheza kwa hisia.” — Enock Maregesi Dancing Copy Share Image
“Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba… — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Kujiingiza katika madawa ni matokeo ya maisha. Hatutumii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni sisi wenyewe; tunahitaji kusaidiwa.” — Enock Maregesi Drug abuse Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya… — Enock Maregesi Body language Copy Share Image
“Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni fupi,… — Enock Maregesi Arena Copy Share Image
“When you bestow kindness upon someone or something you do not know what good or bad will happen to you or to… — Enock Maregesi Bad Copy Share Image
“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.” — Enock Maregesi Slothfulness Copy Share Image
“Toa msamaha usiokuwa na masharti yoyote kwa yeyote aliyekukosea kwa sababu, dhambi iliyofanya mkosane ilitoka kwa Shetani. Kwa mfano, usiseme umesamehe lakini… — Enock Maregesi Conditions Copy Share Image
“Mungu ni mkubwa kuliko jumla ya matatizo yote na vitu vyote alivyoviumba na ana uwezo wa kufanya kila kitu alichosema atafanya bila… — Enock Maregesi Amka Copy Share Image
“Lakini kabla Rais hajaendelea kuongea, na ‘John Murphy wa Kolonia Santita’, Mogens aliruka na kumnyang’anya simu. “Ambilikile,” Mogens aliita, akiangalia saa. “Brodersen,”… — Enock Maregesi Ambilikile Copy Share Image
“Kama John Doe ana matatizo katika maisha yake acha ayatatue mwenyewe. Akishindwa atakuomba ushauri au ataomba ushauri kutoka kanisani kama ni Mkristo,… — Enock Maregesi Advice Copy Share Image
“Sabato ilianzishwa na Mungu siku ya saba ya uumbaji wake. Siku ya Sabato ni siku takatifu, iliyoko katika Amri Kumi za Mungu,… — Enock Maregesi Amri-kumi-za-mungu Copy Share Image
“Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wana mapenzi ya… — Enock Maregesi Depression Copy Share Image
“Kama ulikuwa ukimwambia mwanao kuwa atakuwa jambazi labda kwa sababu ya fujo zake alipokuwa mdogo, mambo mengi atakayokuwa anayafikiria au anayaota atakapopevuka… — Enock Maregesi Akili Copy Share Image
“Nusu dakika baada ya kuondoa gari, Murphy aliona kiwiliwili cha mtu kikimwendea mbio kutokea katika nyumba ya magaidi! Hapohapo alisimamisha gari na… — Enock Maregesi Automobile Copy Share Image
“Licha ya matatizo yanayotokea tunapaswa kujua kwa imani kwamba Mungu asiyeonekana na mwenye nguvu bado yuko kwenye kiti chake cha enzi, akisimamia… — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa… — Enock Maregesi Haile-selassie Copy Share Image
“Maskini mwenye pesa nyingi ni tajiri bahili. Tajiri mwenye mifuko iliyotoboka ni tajiri badhiri.” — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Mwisho wa sura si mwisho wa kitabu. Fungua ukurasa mwingine.” — Enock Maregesi Beginning Copy Share Image
“Asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na dunia kwa kudharaulika.” — Enock Maregesi Idiot Copy Share Image
“Kuandika hadithi ni kitu kimoja. Kuweka kanuni za fasihi katika hadithi ni kitu kingine.” — Enock Maregesi Fiction Copy Share Image
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!” — Enock Maregesi Jew Copy Share Image
“Mihadarati ni chanzo kikubwa cha matatizo ya wanadamu. Mshahara wake ni wazimu, uhalifu na mauti.” — Enock Maregesi Drug addiction Copy Share Image
“Kuona mambo ya rohoni lazima uwe na darubini ya imani. Darubini hiyo ni Yesu Kristo.” — Enock Maregesi Jesus christ Copy Share Image
“Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.” — Enock Maregesi Truth Copy Share Image
“Shetani hawezi kuona wala kusikia kinachoendelea ndani ya moyo wako.” — Enock Maregesi Satan Copy Share Image
When people tell you to shake your money maker don't shake your booty. Shake your head. — Enock Maregesi Mind Copy Share Image
“Ubaguzi ni ubinafsi lakini hakuna ubinafsi mbaya kama ubaguzi.” — Enock Maregesi Discrimination Copy Share Image
Sex to me is not luxury any more. It is necessity of reproduction. — Enock Maregesi Commitment Copy Share Image
“Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.” — Enock Maregesi Brains Copy Share Image
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” — Enock Maregesi Divine Copy Share Image
Your dreams won't die until you die don't ever stop believing! — Enock Maregesi Believing Copy Share Image
“Serikali haifungi mtu kutokana na shinikizo la watu. Inafunga mtu kutokana na sheria za nchi.” — Enock Maregesi Government Copy Share Image