Nightmare Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Kupata kitu ambacho hujawahi kupata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya.”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 3.4 out of 5 (7 ratings) Copy quoteShare Nightmare Risk Success
“Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata milele. Jifanye… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake ni kifungo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuwa mfanyabiashara mzuri wa madawa ya kulevya usitumie madawa ya kulevya. Siri ya mafanikio ya Kolonia Santita ni nidhamu na kitalifa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuandika hadithi ni kitu kimoja. Kuweka kanuni za fasihi katika hadithi ni kitu kingine.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanapokuwa katika migogoro maisha yao hutakiwa kurahisishwa. Kuna ukingo mwembamba kati ya uzima na wazimu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Copy Share
“Kipo kitu kinaendelea kufanyika katika siku zetu za furaha na katika siku zetu za huzuni kwa kila mmojawetu hapa duniani bila ya upendeleo wowote. Kitu hicho ni kuingia na kutoka kwa pumzi, au kupumua. Ukiithamini pumzi inayoingia na kutoka ndani ya mwili wako utapata zawadi ya amani katika maisha yako. Utapata pia zawadi ya furaha, uelewa na ufasaha! Ijapokuwa una… — Enock Maregesi Copy Share
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
Whenever you define family as anything other than a man and a woman married together, you have just introduced an ethical nightmare. — Tony Evans Copy Share Image
And yet, I do believe there is ultimately meaning in the chaos, and also in the doldrums. What I resist is not the truth… — Anne Lamott Copy Share Image
My nightmare scenario is that the government saves Citibank once again, as well as the other banks, and business resumes as usual. Then, the… — Nassim Nicholas Taleb Copy Share Image
I don't think I suffered with depression, I don't think I'm a depressed type of person - I just think I suffered a depression… — Ronnie O'Sullivan Copy Share Image
So actually I'll be living out my nightmare. Trapped in the city with only Blair Waldorf to talk to. — Dan Humphrey Copy Share Image
“There was no waking from this nightmare, no comforting whisper in the dark that he was safe really, that it was all in his… — J.K. Rowling Copy Share Image
In storytelling you kind of put your nightmares up there, you put your dreams up there and people can see them better because they… — Holly Hunter Copy Share Image
I'm not a fan of musicals at all, but I do think 'The Nightmare Before Christmas' is a very good. I always thought 'Walk… — Thomas Sangster Copy Share Image
Whenever I go back to London, I have this horrible feeling that something bad will happen, and I won't be able to get back… — Naveen Andrews Copy Share Image