Skip to content

Close-eyes Quote by Enock Maregesi

“Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata milele. Jifanye hukuona kitu, hukusikia kitu. Ukifumbua macho kwa kuyakodoa utapata matatizo, makubwa.” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata milele. Jifanye hukuona kitu, hukusikia kitu. Ukifumbua macho kwa kuyakodoa utapata matatizo, makubwa.””

Enock Maregesi

3.9 out of 5 (5 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Close-eyes quotes

Browse all 2 Close-eyes quotes