“Mtu anayesema pesa haijampa furaha hana nia ya kusaidia watu.” — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.” — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“John Murphy alifanya mapenzi na Debbie kwa faida ya Tume ya Dunia.” — Enock Maregesi Benefit Copy Share Image
“Heri kufuta mashtaka kuliko kumfunga mtuhumiwa asiyekuwa na makosa. Kuonewa kunauma.” — Enock Maregesi Dismissal Copy Share Image
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi… — Enock Maregesi Believing Copy Share Image
“If a leader for the right reasons is blessed by God, even the people he leads will be blessed by God as… — Enock Maregesi Blessed-by-god Copy Share Image
“Usipofanya kazi kwa bidii na maarifa utaendelea kuuliza Mbagala tupande daladala gani, badala ya kuuliza Mbagala tupite njia gani.” — Enock Maregesi Effort Copy Share Image
“Mungu anaishi ndani ya damu, maisha ya Mungu yalikuwa yanaishi ndani ya mwili wa Yesu Kristo, anaishi ndani ya miili yetu. Unapokula… — Enock Maregesi Blood Copy Share Image
“Juzi si sawa na jana na jana si sawa na leo na leo si sawa na kesho, na kesho si sawa na… — Enock Maregesi Day-after-tomorrow Copy Share Image
“Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni.… — Enock Maregesi Dunia Copy Share Image
“Katika jiji la Dar watu hawaendi kazini. Wanakwenda vitani. Wania kilicho chako ukidhulumiwa. Utajiri humpendelea anayejaribu.” — Enock Maregesi Life Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kazi na mke na watoto wake kuuwawa kwa mfano, watu wanapaswa kuwa makini na yeye, ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Capability Copy Share Image
“We are the children of Nelson Mandela; we are the children of Kwame Nkrumah; we are the children of Haile Selassie; we… — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Your secret behavior will be inherited by your children! If Nelson Mandela was a symbol of reconciliation; then reconciliation is our character.… — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Shetani ana mbinu nyingi za kuwateka wana wa Mungu. Mwanzo sura ya tatu inaonyesha jinsi Hawa alivyoona tunda linang’aa na akazama kwenye… — Enock Maregesi Aspect Copy Share Image
“Maana halisi ya falsafa ya 'Nitakuwa tayari kufungwa kwa ajili ya matatizo ya watu', au Falsafa ya Kufungwa, ni uvutano mkubwa uliopo… — Enock Maregesi Allegiance Copy Share Image
“Kilio kikuu cha Yesu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”, na “Imekwisha”, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili… — Enock Maregesi Christ Copy Share Image
“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke… — Enock Maregesi 100 Copy Share Image
“Mungu ni baba yetu wa kiroho. Hivyo basi, tunajua ya kuwa upendo wake umehifadhiwa ndani ya mioyo yetu. Kwa hiyo, kila mtu… — Enock Maregesi Agape love Copy Share Image
“Peter, naomba nitubu kosa. Mimi si mtoto wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Ni mtoto wa Rais wa Meksiko. Lisa ni mtoto wa… — Enock Maregesi Attorney general Copy Share Image
“Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida maana shida ni kipimo cha akili, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima… — Enock Maregesi Brains Copy Share Image
“Joram Kiango ni mpelelezi maarufu nchini Tanzania. Willy Gamba ni mpelelezi maarufu katika bara la Afrika. John Murphy ni mpelelezi maarufu duniani.… — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii.” — Enock Maregesi 88 Copy Share Image
“Mbili jumulisha mbili wakati mwingine si sawa na nne. Ni sawa na nne jumulisha moja kwa sababu moja ni nguvu ya ushirikiano.” — Enock Maregesi Five Copy Share Image
It is quite disappointing that people you love the most don't love what you love the most. They don't know you. Don't… — Enock Maregesi Apologise Copy Share Image
“Chumvi si dawa ya kuzuia wachawi au dawa ya kuzuia nguvu kutoka ulimwenguni. Chumvi inazuia wachawi, lakini vilevile inazuia bahati. Dawa halisi… — Enock Maregesi Bahati Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Nukuu Copy Share Image
“Unapokumbana na matatizo makubwa katika maisha yako ujue Mungu ana mpango maalumu na maisha yako. Ndiyo maana Shetani anakuandama hivyo.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Kuna sababu za msingi na za kinabii za damu na maji vilivyotoka katika mbavu za Yesu Kristo msalabani. Ubavu wake uliochomwa na… — Enock Maregesi Blood-and-water Copy Share Image
“Amani ya nafsi ni zaidi ya amani ya kisiasa. Amani ya kisiasa itaweza kupatikana endapo watu watakuwa na amani ndani ya mioyo… — Enock Maregesi Human being Copy Share Image
“Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua… — Enock Maregesi Development Copy Share Image
“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au… — Enock Maregesi Debbie-patrocinio-abrego Copy Share Image
“Jina la Yesu ni kubwa kuliko majina yote duniani na hata kuzimu. Lazima Shetani aliogope kuliko anavyomwogopa Bikira Maria au sakramenti za… — Enock Maregesi Jesus Copy Share Image
“Kwa vile taifa la Israeli lilipoteza haki yake ya upendeleo, Mungu aliahidi kuliharibu kama alivyoyaharibu mataifa ya Waamori na Wamisri. Watu wa… — Enock Maregesi Egyptians Copy Share Image
“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa… — Enock Maregesi Boarding school Copy Share Image
“Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo… — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi… — Enock Maregesi Attitude Copy Share Image
“Sayari yetu hujulikana kama Dunia na jua letu hujulikana kama Sol. Dunia imo ndani ya mfumo wa jua wa Sol. Mfumo wa… — Enock Maregesi Andromeda Copy Share Image
“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi, wala hatakiwi kuwa na… — Enock Maregesi Conceit Copy Share Image
“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na… — Enock Maregesi Baba Copy Share Image