“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia moja. Mengine yote mwachie Mungu au ulimwengu. Mungu pekee ndiye anayekupa njia na bahati, ili wewe… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Chumvi si dawa ya kuzuia wachawi au dawa ya kuzuia nguvu kutoka ulimwenguni. Chumvi inazuia wachawi, lakini vilevile inazuia bahati. Dawa halisi ya kuzuia wachawi ni Mwenyezi Mungu.” — Enock Maregesi Copy Share Image