Amri-kumi-za-mungu Quote by Enock Maregesi
““Sabato ilianzishwa na Mungu siku ya saba ya uumbaji wake. Siku ya Sabato ni siku takatifu, iliyoko katika Amri Kumi za Mungu, ambayo hatuna budi kuitunza na kuiheshimu. Sheria ya Siku ya Sabato haikufa baada ya kifo cha Yesu Kristo msalabani kama Wakolosai wanavyodai. Wakolosai walifuata falsafa za kipagani, na walizileta falsafa hizo ndani ya mwili wa Kristo ambalo ni kanisa. ‘Usiiamini’ Wakolosai 2:17. Iamini Wakolosai 2:20-23, ambapo Paulo anafundisha Mataifa jinsi ya kuitunza Sabato, na 1 Wakorintho 12:27 ambayo inatoa maana halisi ya Wakolosai 2:17. ‘Mwili wako ni wa Kristo’ ni tofauti na ‘mwili wa Kristo’ na ni tofauti na kanisa. Ukiamini kama mwili wako ni wa Kristo na ni kanisa, utaitunza Sabato.””
About This Quote
Source Religious discourse: Sabbath doctrine commentary, unknown date
The passage argues that the Sabbath is a holy command, urging respect and preservation, and critiques certain religious interpretations.
In simple terms: Sabbath is sacred and must be honored, not ignored.
Respect and keep the Sabbath holy.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- worship practices
- faith education
- community rituals
- interfaith dialogue
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How does your community view the Sabbath?
- What practices help you honor it?
Interpretations vary across denominations, causing conflict.