Inspirational Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Acha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta.”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 2.6 out of 5 (9 ratings) Copy quoteShare Inspirational
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nimewapa watoto wangu kila kitu katika maisha isipokuwa umaskini. Lakini bado wamenishinda.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na dunia kwa kudharaulika.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanapokuwa katika migogoro maisha yao hutakiwa kurahisishwa. Kuna ukingo mwembamba kati ya uzima na wazimu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Usiangalie nyuma kujutia vitu ulivyovifanya, angalia nyuma kujifunza kutokana na makosa uliyofanya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
We talk to God--that is prayer; God talks to us--that is inspiration. — H. Emilie Cady Copy Share Image
You'll seldom experience regret for anything that you've done. It is what you haven't done that will torment you. The message, therefore, is clear.… — Anonymous Copy Share Image
Just understand that the good that you want is already here. All you have to do is get in harmony with it. And you… — Bob Proctor Copy Share Image
“If you want to build a ship, don’t drum up the men to gather wood, divide the work, and give orders. Instead, teach them… — Antoine de Saint-Exupéry Copy Share Image
It's a hard thing to describe. It's just this sense that you got something to say. — Jonah Lehrer Copy Share Image