Best Quote by Enock Maregesi
““Marafiki zako wa mwanzo ambao bado ni marafiki zako mpaka sasa ni wazuri kuliko wote kutokana na sababu mbalimbali: Wamekuwepo pamoja nawe katika shida na raha; wanakujua vizuri unapokuwa na furaha, na wanakujua vizuri unapokuwa na huzuni; mmezoeana kwa miaka mingi na wanaujua hata utani wako wa ndani; wanajua nini unapendelea zaidi na nini hupendelei zaidi, na wanazijua sifa zako za ushupavu na sifa zako za udhaifu. Hata hivyo, katika maisha yetu, tunahitaji marafiki wa aina zote mbili kurahisisha maisha. Marafiki wapya hutuongezea viungo muhimu katika maisha yetu wakati marafiki wa mwanzo ni nguzo au miamba imara ya maisha yetu, na ndiyo watu hasa watakaotusaidia katika shida na raha! Usiwapoteze au usiwaache marafiki zako wa mwanzo lakini jenga mahusiano mapya. Marafiki zako wa mwanzo ni dhahabu, wa sasa ni fedha.””
About This Quote
Early friends are trusted allies who share joys and sorrows, while new friendships add fresh connections; both types enrich life.
In simple terms: Both old and new friends are valuable for support and growth.
Cherish old friends, welcome new ones.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- career challenges
- personal crises
- celebrations
- network building
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How do you maintain old friendships while forming new ones?
- What qualities do you seek in new friends?
New friendships may lack the depth of long‑standing trust.