Skip to content

God Quote by Enock Maregesi

“Israeli ilifikia kikomo cha kipindi chake kikubwa cha mafanikio tangu enzi za Sulemani. Taifa lilikuwa tajiri. Lilikuwa na nguvu. Lilikuwa na silaha nyingi na nzuri zaidi. Lilikuwa taifa lililojidai kwa uwezo wake mkubwa wa nguvu za kijeshi, hekima, ujasiri, utajiri, na faida za kimkakati. Nani…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Israeli ilifikia kikomo cha kipindi chake kikubwa cha mafanikio tangu enzi za Sulemani. Taifa lilikuwa tajiri. Lilikuwa na nguvu. Lilikuwa na silaha nyingi na nzuri zaidi. Lilikuwa taifa lililojidai kwa uwezo wake mkubwa wa nguvu za kijeshi, hekima, ujasiri, utajiri, na faida za kimkakati. Nani angeweza kushindana na Israeli? Lakini Mungu hunguruma onyo kwamba uwezo wote mkubwa wa asili wa taifa, ujuzi waliojipatia, na sifa bora zaidi havikuweza kulisaidia taifa la Israeli. Watu huona nguvu ya taifa katika utajiri wake, idadi yake ya watu, silaha za kijeshi, teknolojia, na maarifa. Lakini Mungu huangalia haki.””

Enock Maregesi

About This Quote

The passage reflects on Israel's historical strength and divine justice, suggesting that human achievements are limited without moral accountability.

In simple terms: Human power is subject to higher moral standards.

Key Takeaway

Recognize humility and ethical responsibility.

Themes

power history divine justice humility

Mood

reflective serious

Type

historical philosophical

When to use this quote

  • political discourse
  • educational curricula
  • public policy debates
  • interfaith dialogues

Key Concepts

nationalism theology historical analysis

Questions to Reflect On

  • How do moral frameworks shape national narratives?
  • What responsibilities accompany power?
A Different Perspective

It may oversimplify complex historical and geopolitical factors.

3.9 out of 5 (7 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More God quotes

Browse all 37,719 God quotes