“Komando hata akiwa na kizibo cha bia usimruhusu awe nacho. Anaweza kukutoa shingo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Las Vegas. Madhali umeona tunafanya nini katika maisha, fumba macho kwa kuyakodoa. Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele. Kinachofanyika hapa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu alisema tupendane katika shida na raha; Luka 6:27-36. Katika matatizo mpende hasimuyo. Maumivu ya watu hufanana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanaohatarisha maisha yao kwa kudharau sheria wakati mwingine hawatakiwi kudharauliwa. Ni sawa na mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake. Wana… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kusaliti nchi, ambayo majeshi ya ulinzi na usalama yameundwa kuilinda, ni miongoni mwa makosa makubwa kabisa kuweza kufanywa na mtu! Adhabu yake… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwa na Yesu hutaishi kwa kutegemea rushwa, bali utaishi kwa kutegemea sheria. Ukiishi kwa kutegemea rushwa, rushwa itaishi kwa kukutegemea wewe.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wafundishe watoto wako uaminifu, adabu na jinsi ya kuishi vizuri na watu, ili waaminike, waheshimike na waishi vizuri na watu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Isipite siku hata moja katika maisha yako bila kusema hata kimoyomoyo kwa wazazi wako na kwa watu wote wanaokupenda kwamba unawapenda, kwani… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Taabini hii ni ngumu sana kwangu kuandika pamoja na kwamba ni miaka mitatu kamili toka giza liingie. Mwaka 2014, Novemba 4, nilimpoteza… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukipata matatizo kumbuka kwamba Yesu alipata matatizo pia, na kutokana na matatizo hayo mimi na wewe tulipata uhuru. Soma Biblia. Soma nyimbo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Meli ya kwanza kuondoka katika Bandari ya Salina Cruz kusini mwa Meksiko katika Bahari ya Pasifiki ni 'La Diosa de los Mares',… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Amri ya Kristo ilipima imani ya yule kipofu, ikiithibitisha na kuiimarisha. Bila kuchelewa au kusita, kipofu alitii amri ya Mungu: Alikwenda kuosha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mama anaweza kufa ili mwanawe aishi, anaweza kufunga na kuomba ili mwanawe Mungu amsaidie ashinde mtihani wake, anaweza kulala njaa ili mwanawe… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Neno moja kutoka mdomoni mwako linaweza kukuletea madhara makubwa. Fikiria kwanza maana ya kitu unachofikiria (ambacho tayari umekisema kichwani mwako) kabla ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani hawezi kujua unafikiria nini: 1 Wafalme 8:39. Yesu anajua unafikiria nini: Yohana 2:25. Shetani haweza kufanya jambo bila ruhusa ya Mungu:… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Siri ya utajiri ni mawazo ya mtu. Maisha unayoishi uliyataka mwenyewe. Amka uishi. Hii ndiyo siri kubwa ya utajiri kuliko zote ulimwenguni.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwa karibu na Mungu utakuwa na maarifa kuliko profesa, Mungu ana maarifa kuliko profesa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikupa pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kibaya chukua. Kisha ipeleke polisi, ambapo utatoa taarifa zake pia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko Injili. Mungu hasisimuliwi na matatizo yako. Anasisimuliwa na imani yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wakikuonyesha tabia zao za ndani kabisa waamini. Wanajijua vizuri zaidi, kuliko unavyowajua.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Debbie alikuwa akimwangalia Murphy kama paka anavyoangalia maziwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Endeleza nafsi yako katika kujitegemea, kwani ukishaifundisha nafsi yako kujitegemea hutamtegemea mtu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kafara ya maombi ni kushukuru wakati wa matatizo. Kushukuru kuna nguvu kuliko kuomba.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu haamui jinsi watu wanavyoamua. Mtu akikwambia huna kipaji muulize yeye ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Serikali haishirikiani na huruma katika kufanya maamuzi yake. Inashirikiana na akili.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image