“Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kushirikiana na maadui wa nchi yetu ni hatia ya kosa la uhaini. Adhabu yake ni kifo, au kifungo cha maisha.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikupigia simu analia mwambie anyamaze na amshukuru Mungu. Imani ya Mungu ni kubwa kuliko matatizo aliyoyapata.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ufalme wa Mungu umo ndani ya mioyo yetu; dunia yetu imo ndani ya vichwa vyetu, visogoni mwetu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Yapo mambo mabaya, na yapo mambo mazuri, ambayo wakoloni walituletea. Chukua mazuri, acha mabaya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani akikupa hela chukua. Hiyo hela ameiiba kutoka kwa Baba. Ukishaichukua, toa zaka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mzazi hamjui mtoto wake na mtoto hamjui mzazi wake. Kila mtu hapa duniani ni wa kipekee na wanasayansi wanatuambia kuwa tuko peke… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kabla hujapona matatizo yanayokusumbua ponya roho yako kwanza, kabla hujakwenda kwa mchungaji, roho yako inajua kila kitu katika maisha yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Lengo la jina la kitabu ni kuishawishi hadhira kusoma dibaji, na lengo la dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma salio la kitabu kizima.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Matatizo ya kijamii, kimiiko, kimaadili, kisiasa, na kiroho; hayataweza kutatuliwa kwa pesa, vikao vya kifamilia, haki za binadamu, usalama wa taifa, au… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine; utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta, wakati ukiingia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Imani ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana na hupeleka watu kwenye ukweli. Kuamini hupotosha, na ni nia ya kudharau kinachoweza kujulikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tajiri asiyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu kuliko anavyoijali dunia au yule aliyesoma lakini anayejali mambo ya ufalme wa Mungu… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu chochote. Wanaweza kuona tusipoweza kuona – nyuma na mbele ya tarehe zetu za kuzaliwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hakimu na Kuhani Mkuu wa Shilo Eli alipata matatizo makubwa wakati wa mgogoro wa Waisraeli na Wafilisti, kati ya mwaka 2871 na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunapaswa kuyafikiria madhaifu yetu na dhambi zetu kwa makini sana, kwa kiasi cha kuyashinda madhaifu hayo na dhambi hizo, kabla hatujatoa maamuzi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi wake. Lakini wakati mwingine anaacha ufuate kile ambacho… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Murphy hakupenda kupoteza muda. Alinyanyuka na kumimina risasi, Mungu akamsaidia akadondosha wawili huku wengine wakipotea kwa kuruka vibaya na kukwepa. Kwa kasi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ndani ya chumba, akiwa bado amechanganyikiwa, akiwa hajui Debbie alikokwenda, Murphy alisikia walinzi wakipiga kelele nje. Kamanda huwa anakuwa shetani nyakati kama… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wazazi wetu ni watu wa kuheshimu kuliko kitu kingine chochote kile kwa sababu wana uwezo wa kuona tusipoweza kuona. Yaani, wanajua kilichokuwepo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna vita za aina mbili zinazopiganwa hapa duniani: vita ya maisha na vita ya dhambi. Unaweza kushinda vita ya maisha (maisha ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari wa Kirumi aliyekuwa na chongo, na mkuki, alikuwa na jukumu la kumtesa Yesu hadi kufa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama baba yako hakukufundisha kwamba kuiba ni kitu kibaya, dunia itakufundisha kwa kukuchukia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mwandishi wa hadithi ya maisha yangu na ndiye anayeandika ukurasa wa mwisho.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwenye hekima huzungumza kilicho na maana! Kinaweza kuwa kizuri au kibaya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kinachosababisha tupambane na Mungu ni matatizo, ambayo huletwa na watu, na tunapambana kwa silaha ya uongo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hataki tuwe maskini, kwani fedha na dhahabu ni mali yake. Anachotaka kutoka kwetu, zaka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu anataka tuwe na mtazamo wa ‘kila kitu kinawezekana juu ya jua’ na si ‘kila kitu kinawezekana chini ya jua’.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Je, ni kweli kwamba dunia itaisha mwezi huu tarehe 29? Hakuna ajuae, tujiandae.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tuko peke yetu ulimwengu mzima halafu bado tunagombana na kudharauliana!” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image