Faith Quote by Enock Maregesi
““Mungu anataka tujifunike kwa ngao yake. Yaani, tuwe na imani iliyokomaa katika Bwana na yeye atatufunika. Maana ya kauli hiyo ni kwamba kila kiungo cha miili yetu kuanzia unyayo hadi kichwa lazima kifunikwe kwa silaha ya Mungu, ambayo Mungu anaiita panoplia. Panoplia haimo katika kamusi ya Kiswahili au Kiingereza, lakini maana yake ni ‘ngao kamili ya Mungu’. Hii si tu silaha ya Mungu. Ni silaha kamili ya Mungu tunayotakiwa kujifunika kwayo.””
About This Quote
Source Speech: Religious Talk, 2020
Encourages believers to be fully protected by God's perfect armor, a comprehensive divine shield.
In simple terms: Be fully covered by God's armor.
Trust in God's complete protection.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- personal crisis
- spiritual warfare
- community worship
- ethical dilemmas
Key Concepts
Questions to Reflect On
- What does “God's armor” mean to you?
- How can you actively live under this protection?
Reliance on armor may reduce personal responsibility.