Binadamu Quote by Enock Maregesi Download Open image ““Binadamu ni barua!”” — Enock Maregesi ★ ★ ★ ★ ★ 3.4 out of 5 (9 ratings) Copy quoteShare Binadamu
“Melenkurion abatha! Binas mill Bana Nihoram khabaal! Melenkurion abatha! Abatha Nimoram!” — Stephen R. Donaldson Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kai krenti keliais an žvyra, tai prisimeni mamą, babą i visą giminę.” — Rimantas Kmita Copy Share Image
“... kita manusia boleh saja menganggap diri benar .. tapi akan jadi lucu bila merasa paling benar..” — Anonymous Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani anapenda damu kumtumia Mungu kwa faida yake kama vile Mungu anavyomtumia Shetani kwa faida yake. Mungu anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani naye anamtumia Mungu kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu kwa sababu Shetani siku hizi anaishi makanisani na misikitini. Anamtumia Mungu kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watoto wadogo wanakufa. Watu wazima wasiokuwa na hatia wanakufa vitani na katika majanga mengine ya asili. Kwa nini? Watoto wadogo wanaokufa walikuja duniani kufanya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mtakatifu na kwa maana hiyo hatendi dhambi. Hivyo, hauwi wala hatesi. Tunajiua na kujitesa wenyewe. Ametupa hiari ya kuchagua mema au mabaya.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hakuna shaka yoyote (kwa mfano) kwamba mboga za majani na matunda vina vitamini nyingi mwilini na madini na vitu vyote vizuri katika mwili wa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kusudi mimba itungwe lazima kuwepo na kromosomu X na kromosomu Y. Kromosomu ni nyuzinyuzi katika kiini cha seli zenye jeni au DNA, ambazo hubeba… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Damu ya Mwanakondoo ina nguvu kuliko maombi. Mungu hauwi, Anamtumia Shetani kama wakala wake wa kutoa adhabu kwa binadamu. Ukifunikwa na damu ya Mwanakondoo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni baba yetu wa kiroho. Hivyo basi, tunajua ya kuwa upendo wake umehifadhiwa ndani ya mioyo yetu. Kwa hiyo, kila mtu ana upendo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuna mambo yanatokea hapa ulimwenguni ambayo yanafanya nikiri uwepo wa Mungu kwa asilimia kubwa. Wanasayansi wanasema ulimwengu ulianzishwa na mlipuko wa ‘Big Bang’, uliotokea… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Injili tunayohubiriwa haina ugumu wowote. Mungu anatutaka tuamini na tunapoamini, tunapopata ufahamu na kuamini kuwa Mwana wa Mungu alikuwa binadamu kama sisi ili sisi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanasayansi wana uwezo wa kupeleleza hadi kipindi cha karne ya kwanza ambapo Yesu aliishi, alikufa, alifufuka na alipaa kwenda mbinguni, na wana uwezo wa… — Enock Maregesi Copy Share Image