“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au… — Enock Maregesi Debbie-patrocinio-abrego Copy Share Image
“Ukiwapa watoto wako uhuru wa shaghalabaghala au uhuru wa kila kitu watajisahau! Wape uhuru wa mahesabu.” — Enock Maregesi Calculated-freedom Copy Share Image
“Mnamo mwaka 1957 Rais David Eisenhower wa Marekani (inasemekana) alipewa taarifa usiku mmoja akiwa Washington, D.C., kuhusu chombo cha ajabu kilichoanguka kwenye… — Enock Maregesi Aliens Copy Share Image
“Usipoangalia kwa undani sana, mapepo wanatutawala kwa sababu hatuna uwezo wa kuwaona. Aidha, wanaweza, bila hata sisi kujua, kuwasiliana nasi kimawazo na… — Enock Maregesi Air Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Heart Copy Share Image
“Kupata kitu ambacho hujawahi kupata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya.” — Enock Maregesi Nightmare Copy Share Image
“Ukiajiri ndugu usimwonee aibu! Namna hiyo ajira yake haitaathiri nguvu ya mamlaka yako.” — Enock Maregesi Employment Copy Share Image
“Serikali imepewa mamlaka na wananchi kuwaendeshea nchi yao. Mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.” — Enock Maregesi Citizens Copy Share Image
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua… — Enock Maregesi Body Copy Share Image
“Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa… — Enock Maregesi Haile-selassie Copy Share Image
“Kilio kikuu cha Yesu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”, na “Imekwisha”, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili… — Enock Maregesi Christ Copy Share Image
“Dunia ni uwanja wa vita wa vita ya dhambi ya vita ya maisha! Kuishi maisha ya kufikirika ni kushinda vita ya maisha… — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Ikiwa hakuna kitu kinafanyika katika maisha yako usijali. Kuna kitu kinafanyika – kuingia na kutoka kwa hii pumzi.” — Enock Maregesi Air Copy Share Image
“Ukiishi Mexico City katika daraja la watu wakubwa na wewe na anasa ni marafiki wakubwa, hutapenda kuendesha gari ambayo kila mtu anaendesha… — Enock Maregesi Exclusivity Copy Share Image
“Kama John Doe ana matatizo katika maisha yake acha ayatatue mwenyewe. Akishindwa atakuomba ushauri au ataomba ushauri kutoka kanisani kama ni Mkristo,… — Enock Maregesi Advice Copy Share Image
“Ukimpenda mtu, akakushukuru kutoka katika sakafu ya moyo wake, hata ukifa utaendelea kuishi.” — Enock Maregesi If you love someone Copy Share Image
“Mihadarati ni chanzo kikubwa cha matatizo ya wanadamu. Mshahara wake ni wazimu, uhalifu na mauti.” — Enock Maregesi Drug addiction Copy Share Image
“Sentensi bora katika medani ya uandishi ni sentensi fupi, angavu, sahihi, yenye mantiki, na kamilifu.” — Enock Maregesi Arena Copy Share Image
“Watu hawaheshimu wewe ni nani au unatoka wapi. Wanaheshimu nguvu ya matendo yako.” — Enock Maregesi Attitude Copy Share Image