“Kama huna mama, kama mama yako alishafariki, au kama yupo lakini hakujali, hata kama baba yako yupo au hayupo, mafanikio yako yatatokana… — Enock Maregesi Baba Copy Share Image
“Shetani lengo lake ni kutawala dunia. Huwezi kutawala dunia bila elimu!” — Enock Maregesi Dunia Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya… — Enock Maregesi Angel Copy Share Image
“Kuamini (mbali na imani, ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini kwamba siku moja… — Enock Maregesi Aids Copy Share Image
“Boresha maisha ya watu kwa kadiri utakavyoweza. Ukisaidia mtu 1 watahurumiwa watu 10. Ukisaidia watu 10 watahurumiwa watu 100. Ukisaidia watu 100… — Enock Maregesi All Copy Share Image
“Injili tunayohubiriwa haina ugumu wowote. Mungu anatutaka tuamini na tunapoamini, tunapopata ufahamu na kuamini kuwa Mwana wa Mungu alikuwa binadamu kama sisi… — Enock Maregesi Binadamu Copy Share Image
No matter how talented or skilled you are, you will never reach your full potential without expert guidance. — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Kati ya nchi yako na serikali yako ni kitu gani unakipenda zaidi? Ipende zaidi nchi yako, kuliko serikali yako!” — Enock Maregesi Bureaucracy Copy Share Image
“Kushirikiana na maadui wa nchi yetu ni hatia ya kosa la uhaini. Adhabu yake ni kifo, au kifungo cha maisha.” — Enock Maregesi Betrayal Copy Share Image
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi… — Enock Maregesi Believing Copy Share Image
“Lolote unalolifikiria yupo mtu mahali fulani duniani ameshalifikiria.” — Enock Maregesi Anything Copy Share Image
“Mungu hataki tuwe maskini, kwani fedha na dhahabu ni mali yake. Anachotaka kutoka kwetu, zaka.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Dhambi ikizidi katika taifa, Mungu ataliangamiza. Taifa likitenda haki, Mungu ataliinua.” — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Kuna sababu za msingi na za kinabii za damu na maji vilivyotoka katika mbavu za Yesu Kristo msalabani. Ubavu wake uliochomwa na… — Enock Maregesi Blood-and-water Copy Share Image
“Hutaweza kumiliki watu bila damu ya Mwanakondoo.” — Enock Maregesi Blood-of-the-lamb Copy Share Image
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.” — Enock Maregesi Mtihani Copy Share Image