Skip to content

Aids Quote by Enock Maregesi

“Kuamini (mbali na imani, ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini kwamba siku moja dawa ya UKIMWI au saratani itapatikana mahali fulani, ilhali huwezi kufanya majaribio ya kisayansi kulithibitisha hilo. Unaweza kusubiri hata miaka mia…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Kuamini (mbali na imani, ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini kwamba siku moja dawa ya UKIMWI au saratani itapatikana mahali fulani, ilhali huwezi kufanya majaribio ya kisayansi kulithibitisha hilo. Unaweza kusubiri hata miaka mia, lakini kama bado dawa haijapatikana, unaweza kusubiri hata miaka mingine mia. Kuamini ni kujifanya kujua (na mara nyingi kujifanya kujua ni uongo) na kuamini hakuhitaji maarifa. Kujua kunahitaji maarifa na ni kuamini unakoweza kukuthibitisha. Ukiniuliza kama simu yangu ipo mfukoni nitakwambia ndiyo ipo, kwa sababu nitaingiza mkono mfukoni na kuitoa na kuiona. Siamini kama ipo mfukoni, najua.””

Enock Maregesi

About This Quote

Belief without evidence is held despite lack of proof, often ignoring scientific testing.

In simple terms: Faith without proof persists despite lack of testing.

Key Takeaway

Question beliefs lacking evidence.

Themes

faith epistemology psychology

Mood

skeptical reflective

Type

philosophical inspirational

When to use this quote

  • medical research
  • personal convictions
  • policy making
  • education

Key Concepts

confirmation bias skepticism

Questions to Reflect On

  • How do you verify beliefs?
  • What evidence would change your view?
A Different Perspective

Belief may be reinforced by social pressure despite evidence.

4.3 out of 5 (7 ratings)

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Aids quotes

Browse all 1,983 Aids quotes