“Mtu anayesema pesa haijampa furaha hana nia ya kusaidia watu.” — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Kabla hujapona matatizo yanayokusumbua ponya roho yako kwanza, kabla hujakwenda kwa mchungaji, roho yako inajua kila kitu katika maisha yako.” — Enock Maregesi Life Copy Share Image
“Unaweza kusaliti nchi kwa sababu za kiitikadi, kisiasa, matatizo ya akili, au pesa. Ukifanya hivyo na ukabainika; utawajibika kwa adhabu ya kifo,… — Enock Maregesi Betrayal Copy Share Image
“Ni rahisi kushinda vita ya maisha na kuishi mbinguni duniani. Ni vigumu kushinda vita ya dhambi na kuishi mbinguni paradiso.” — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Capability Copy Share Image
“Pesa ikitolewa kwa masharti mazuri chukua, kama masharti ya kibenki, si masharti mabaya kama ya kiganga, huyo anayeitoa si ya kwake. Pesa… — Enock Maregesi Conditions Copy Share Image
“Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.” — Enock Maregesi Almighty Copy Share Image
“Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo… — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.” — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.” — Enock Maregesi Africanism Copy Share Image
“Sifa kubwa ya Murphy ni udadisi lakini kubwa zaidi ni unyamaume. Haogopi kitu. Anaheshimu sheria.” — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Serikali inayodhulumu wananchi wake ni hatari kuliko simba.” — Enock Maregesi Allegiance Copy Share Image
“Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.” — Enock Maregesi Africa Copy Share Image
“Shetani ni profesa wa saikolojia! Lakini, ukiwa msiri, hatakupata.” — Enock Maregesi Confidant Copy Share Image
“Dunia huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka jua. Jua huzunguka kwenye mhimili wake na huzunguka falaki. Dunia hutumia takriban siku moja kuzunguka… — Enock Maregesi Axis Copy Share Image
“Heri kufuta mashtaka kuliko kumfunga mtuhumiwa asiyekuwa na makosa. Kuonewa kunauma.” — Enock Maregesi Dismissal Copy Share Image
“Debbie alikuwa akimwangalia Murphy kama paka anavyoangalia maziwa.” — Enock Maregesi Cat Copy Share Image
“Kuikaribisha amani ya Mungu katika maisha yangu kumenisaidia. Naishi mbinguni duniani.” — Enock Maregesi Divine Copy Share Image
“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa… — Enock Maregesi Amini Copy Share Image
“Mwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama… — Enock Maregesi Children Copy Share Image
“Kwa vile taifa la Israeli lilipoteza haki yake ya upendeleo, Mungu aliahidi kuliharibu kama alivyoyaharibu mataifa ya Waamori na Wamisri. Watu wa… — Enock Maregesi Egyptians Copy Share Image