“Tumaini lina nguvu kuliko woga… Usisimame. Endelea kutembea.” — Enock Maregesi Don-t-give-up Copy Share Image
“Usiwe na wasiwasi, Peter. Hizo ni hisia zangu tu. Huwezi kuwa mpelelezi. Lakini, kusema ule ukweli, ningependa sana kuonana na John Murphy.… — Enock Maregesi Africa Copy Share Image
“Ndugu zangu, malaika wanatulinda. Wako katikati ya maadui zetu na sisi. Hatujui ni mara ngapi malaika wameingilia kati kuokoa maisha yetu, kutuepusha… — Enock Maregesi Brethren Copy Share Image
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!” — Enock Maregesi Jew Copy Share Image
“Kuna mambo yanatokea hapa ulimwenguni ambayo yanafanya nikiri uwepo wa Mungu kwa asilimia kubwa. Wanasayansi wanasema ulimwengu ulianzishwa na mlipuko wa ‘Big… — Enock Maregesi 14-billion-years-ago Copy Share Image
“Kuna tofauti kati ya hekima na maarifa. Unaweza kuwa profesa ukawa mpumbavu, unaweza kuwa gumbaru ukawa na hekima.” — Enock Maregesi Dumb Copy Share Image
“Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?” — Enock Maregesi Breath Copy Share Image
“Two plus two is not sometimes equal to four! It is equal to four plus one, for one is a powerful amalgamation.” — Enock Maregesi Amalgamation Copy Share Image
“Kitu cha kwanza jiulize unataka nini. Halafu omba, kwa mungu yoyote unayemwamini. Kisha amini, kwamba umepata, hadi utakapopata.” — Enock Maregesi Amini Copy Share Image
“Chumvi si dawa ya kuzuia wachawi au dawa ya kuzuia nguvu kutoka ulimwenguni. Chumvi inazuia wachawi, lakini vilevile inazuia bahati. Dawa halisi… — Enock Maregesi Bahati Copy Share Image
“Maumivu ya matatizo ya yule aliyekukosea hayana tofauti na maumivu ya matatizo ya wewe uliyekosewa. Adui yako (kwa mfano) akifiwa na mke… — Enock Maregesi 100 Copy Share Image
“Isipite siku hata moja katika maisha yako bila kusema hata kimoyomoyo kwa wazazi wako na kwa watu wote wanaokupenda kwamba unawapenda, kwani… — Enock Maregesi Day Copy Share Image
“Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.” — Enock Maregesi Akili Copy Share Image
“Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!” — Enock Maregesi Bureaucracy Copy Share Image
“Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga,… — Enock Maregesi Familia Copy Share Image
“Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. Zifuatazo ni ngazi… — Enock Maregesi 88 Copy Share Image
“Siri ya utajiri ni mawazo ya mtu. Maisha unayoishi uliyataka mwenyewe. Amka uishi. Hii ndiyo siri kubwa ya utajiri kuliko zote ulimwenguni.… — Enock Maregesi Amka Copy Share Image
“Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni fupi,… — Enock Maregesi Arena Copy Share Image
“Uzima wa milele si mchezo wa kubahatisha! Kila mtu atalipwa kulingana na matendo yake, mema au mabaya, na huo uzima wa milele… — Enock Maregesi Actions Copy Share Image