88 Quote by Enock Maregesi
““Sikujui. Lakini naamini hungependa kuishi maisha yako hapa duniani bila kuacha urithi au kumbukumbu ya aina yoyote katika jamii. Zifuatazo ni ngazi tano muhimu zitakazofanya uache dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta: Tambua vitu vya muhimu katika maisha yako ijapokuwa unaweza kuacha alama katika dunia bila kujitambua baada ya kuondoka; Tumia kipaji ulichopewa na Mungu; Fanya kazi kwa bidii na maarifa; Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia; Kuwa makini na kila kitu unachofanya kwa maana ubongo ni kitu cha ajabu, ubongo una uwezo wa kukupotosha.””
About This Quote
Source Speech: Community Leadership Forum, 2023
He outlines five essential steps for leaving a positive legacy: self‑awareness, using God‑given talent, diligent work, healthy competition, and mindful purpose.
In simple terms: Five steps to a good legacy.
Live purposefully and responsibly.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- career counseling
- community projects
- education programs
Key Concepts
Questions to Reflect On
- Which step feels hardest for you?
- How can you support others in this journey?
Challenges include systemic barriers and personal doubts.