All Bob Riza Quotes
- Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa unateseka na mawazo Mawazo
- Uzuri wa mtu sio sura bali ni moyo wake Bali
- Pigana pambana sana epuka kubugi na kusababisha vyenye laana Sana
- Lazima uwe na nywele ili uweze kunyoa Lazima
- Adui ni mtu mbaya sana kwani nia yake ni kukudhuru tu Kukudhuru
- Imani ipo moyoni na sio machoni Imani
- Asilimia 99.5% tuna dhambi Dhambi
- Mziki unaweza ukakutoa kwenye dhiki lakini sio kila mwanamuziki unampa riziki Dhiki
- Elimu haina mwisho Haina
- Hakuna mtu asiyependa mafanikio Hakuna
- Yesu yupo njiani siku yoyote ile atakuja kuwachukua walio wake Siku
- Hakuna bora kati ya simba na chui maana wote huweza kukudhuru Bora
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu Binadamu
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta Bora
- Tenda wema nenda zako Swahili
- Kukubali kushindwa ni kukubali kutofanikiwa Swahili
- Mke ni mke hata kama hana jicho Hana
- Ni ujinga kufanya ngono peku wakati zana unazo mfukoni Swahili
- Uke hauukuitwa uume kwa kuwa upo kwa mwanamke Kuwa
- Uume haukuitwa uke kwa kuwa upo kwa mwanaume Kuwa
- Siku aina rangi Rangi
- Maisha ya muafrika ni kama vazi la malaya anayejiuza Kama
- Uwezi kuipata kesho bora kama unaiwaza jana Bora
- Mwerevu hufikiri kabla ya kutenda jambo Kutenda
- Binadamu wote ni sawa haijalishi rangi, kabila au utaifa Binadamu