Siku Quotes
- Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha. — Lc The DreamKid
- Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza
- Yesu yupo njiani siku yoyote ile atakuja kuwachukua walio wake — Bob Riza
- Siku aina rangi — Bob Riza
- Wakati wa usiku alikuwa kijana mimi nilikuwa pale Wakati kila mtu kuona mimi kwa ambaye nilikuwa, nilikuwa huko Wakati wewe inaonekana juu kutoka mbali nilikuwa… — Jess Jessenia