Kuwa Quotes
- Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid
- Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha. — Lc The DreamKid
- Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa 1 tu ndipo lilomtoa peponi. — Lc The DreamKid
- Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa peponi. — Lc The DreamKid
- Kwa kuwa mpenzi wako ndio chaguo lako, jihadhari, usije ukamtupa. — Lc The DreamKid
- Kuwa ndani Ya suit haimaanishi ninapesa, wengine tunaficha Njaa Tu!! — Daudi Bilingi
- Mchawi wako anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu — Bob Riza
- Raha ya mapenzi ni kuwa huru na sio uwoga na wasiwasi — Bob Riza
- Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini — Bob Riza
- Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza
- Uke hauukuitwa uume kwa kuwa upo kwa mwanamke — Bob Riza
- Uume haukuitwa uke kwa kuwa upo kwa mwanaume — Bob Riza