« All Binadamu Quotes · Bob Riza's Page
Binadamu Quotes by Bob Riza
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu
- Kama ukimwi ungekuwa binadamu basi ungekuwa na dhambi nyingi sana
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu
- Binadamu wote ni sawa haijalishi rangi, kabila au utaifa