« All Swahili Quotes · Bob Riza's Page
Swahili Quotes by Bob Riza
- Maisha yangekuwa sumu watu wengi tungekufa
- Mawazo hayapimwi kwa mzani
- Mke hanapenda mabusu na sio makofi
- Ujinga wa wachawi ni kwamba hawakuibii mali wala pesa bali kukukaba na kukutesa tu
- Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu
- Hata raisi naye huwa anaenda msalani na anafurahi au kununa kama mtu wa kawaida
- Wanasema ukikalia mafiga ni vibaya kwa mtoto wa kiume ''mababu hao
- Tatizo lisikie kwa mwenzako tu...likikupata wewe utakiona cha moto
- Mpiganaji hupata kidogo kitu sio sawa na mkaa bure
- Mimi nina sumu kama kifutu hivyo usije na kisu butu
- Kamwe panga haliwezi kukaa kwenye pochi
- Rafiki ni yule akufaaye kwenye dhiki
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu
- Kamwe chupi haivaliwi miguuni
- Hakuna makalio yaliyochongoka 'nenda popote pale duniani hutoyakuta
- Mchawi wako anaweza kuwa hata ndugu yako wa damu
- Mama ni mama hata akiwa kilema
- Raha ya mapenzi ni kuwa huru na sio uwoga na wasiwasi
- Maisha yangu ni yangu hivyo usinifatilie nachokifanya
- Katika lugha ya kiswahili tunakaza sauti katika silabi ya pili kutoka mwisho
- Mchawi ni mjinga siku zote kwa kuwa haibi mali bali anakutesa tu hata kama ni masikini
- Kucha haina nywele
- Kama ukimwi ungekuwa binadamu basi ungekuwa na dhambi nyingi sana
- Unaweza ukawa na pesa na bado ukawa unateseka na mawazo
- Uzuri wa mtu sio sura bali ni moyo wake
More Ways to Read Swahili Quotes by Bob Riza
More Swahili Quotes
- The tune was too ingrained for Mortenson to consider the novelty of this moment- an American, lost in Pakistan, singing a German… — Greg Mortenson
- I could speak to you and say, 'Laytay-chai, paisey, paisey.' ... Why aren't you responding? Oh, you don't speak Swahili. Well, I've… — Ian Dunbar
- I have several close friends who have run marathons, a word that is actually derived from two Swahili words: mara, which means… — Celia Rivenbark
- Who is Barack Obama? Contrary to the rumors you have heard, I was not born in a manger. I was actually born… — Barack Obama
- Actors don't listen to each other. You're so obsessed with what you're saying or doing that the other person could be talking… — Toby Stephens
- Many of you know that I got my name, Barack, from my father. What you may not know is Barack is actually… — Barack Obama
- I realised a long time ago that instrumental music speaks a lot more clearly than English, Spanish, Yiddish, Swahili, any other language.… — Carlos Santana
- There's a melody in everything. And once you find the melody, then you connect immediately with the heart. Because sometimes English or… — Carlos Santana
- To realise belatedly that there are Swahili epic poems which rival their European equivalents for sweep and power has been exciting. — Giles Foden
- Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid
- Anza kujenga wakati ujao, badala ya kuusifia uliopita. — Lc The DreamKid
- Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo. — Lc The DreamKid