Hakuna Quotes
- You saY Cheers and we say HAKUNA MATATA have a great Weekend — Junior Dè Rèál Testament
- Hakuna kikaukacho haraka kama machozi. — Lc The DreamKid
- Ujipendapo sana, hakuna atakaekushinda kwa mapenzi! — Lc The DreamKid
- Hakuna Matata...it means no worries — The Lion King
- HAKUNA MATATA (no worries) — Timon
- Hakuna binadamu mwenye mamlaka sawa na mungu — Bob Riza
- Hakuna makalio yaliyochongoka 'nenda popote pale duniani hutoyakuta — Bob Riza
- Hakuna mtu asiyependa mafanikio — Bob Riza
- Hakuna bora kati ya simba na chui maana wote huweza kukudhuru — Bob Riza
- Hakuna Matata. These two words will solve all your problems. — The Lion King
- Keep Calm And HAKUNA MATATA.. :P — Archie
- Hakuna Matata! It means no worries for the rest of your days. — The Lion King