“Hadithi ya maisha yangu ni yangu. Wewe ni nani kusema hadithi yangu si ya kweli?” — Enock Maregesi Life Copy Share Image
“Unaposhindwa katika mtihani wa kimaisha, usiangukie nyuma, angukia mbele.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Secure tomorrow today by sowing good seeds today and by watering them with faith and love to others.” — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Serikali imepewa mamlaka na wananchi kuwaendeshea nchi yao. Mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” — Enock Maregesi Hatred Copy Share Image
“Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko Injili. Mungu hasisimuliwi na matatizo yako. Anasisimuliwa na imani yako.” — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Mtu akikupa pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kibaya chukua. Kisha ipeleke polisi, ambapo utatoa taarifa zake pia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiwa karibu na Mungu utakuwa na maarifa kuliko profesa, Mungu ana maarifa kuliko profesa.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Ukitenda mema lazima utalipwa mema, ama unajua au hujui, na ukitenda mabaya lazima utalipwa mabaya, ama unajua au hujui.” — Enock Maregesi Evil Copy Share Image
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa baba kwa familia yake. Kwa Tanzania alikuwa mlezi; wa ndoto ya haki, amani, uzalendo, ujamaa, na uhuru.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kiongozi kwa sababu ya haki akibarikiwa na Mungu, hata watu anaowaongoza watabarikiwa na Mungu pia. Lakini kama kiongozi amelaaniwa na Mungu kwa… — Enock Maregesi Evil Copy Share Image
“Siku ya kuzaliwa ni siku ya kwanza ya safari nyingine ya siku 365, masaa 5, dakika 48, sekunde 46 na maili milioni 600 kulizunguka jua. Safiri salama.” — Enock Maregesi Birthday Copy Share Image
“Ukikosana na mwanamke usimpige mchana. Mpige usiku. Ukimpiga mchana watu watasema umemwonea. Ukimpiga usiku watu watasema huenda alikuwa na makosa. Wanawake hawatakiwi… — Enock Maregesi Mistakes Copy Share Image
“Kolonia Santita ni kitabu cha Kiswahili. Si Kingereza wala Kihispania. Lazima tujifunze kuipenda na kuitetea lugha yetu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.” — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Mungu ni mkubwa kuliko jumla ya matatizo yote na vitu vyote alivyoviumba na ana uwezo wa kufanya kila kitu alichosema atafanya bila… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Toa msamaha usiokuwa na masharti yoyote kwa yeyote aliyekukosea kwa sababu, dhambi iliyofanya mkosane ilitoka kwa Shetani. Kwa mfano, usiseme umesamehe lakini… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ni mwingi wa hekima, lakini kwa nini alimuumba Shetani? Kwa sababu, Shetani wakati mwingine ni hekima. Ukiendelea kupigwa, bila wewe kupiga,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kabla ya kukata roho mapigo ya kasi ya moyo aliyoyapata Yesu kutokana na mshtuko wa hipovolimia, pia yalisababisha maji kujikusanya katika vifuko… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukiishi Mexico City katika daraja la watu wakubwa na wewe na anasa ni marafiki wakubwa, hutapenda kuendesha gari ambayo kila mtu anaendesha… — Enock Maregesi Exclusivity Copy Share Image
“Lakini damu na maji vina maana kubwa katika maisha yetu. Biblia inaeleza kuwa wakati Yesu Kristo akiwa msalabani alichomwa ubavu wake kwa… — Enock Maregesi Bible Copy Share Image
“Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Yesu alikuwa binadamu ili afe kama binadamu kwa ajili ya binadamu. Alikufa msalabani ili sisi wote tuokoke. Lakini Shetani hataki hilo litokee.… — Enock Maregesi Binadamu Copy Share Image
“Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko wenyewe katika bahari hii ya hewa. Hata nyangumi na wazira waovu wanapozunguka huko na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Siwaogopi wenye dhambi ndiyo maana ninawafundisha ukweli.” — Enock Maregesi Sinners Copy Share Image