“Watu wa kulisaidia bara la Afrika hawatatoka Amerika au kwingineko. Afrika ni tatizo letu. Watatoka Afrika kwenyewe.” — Enock Maregesi Africa Copy Share Image
“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Heart Copy Share Image
“Unapokuwa na matatizo makubwa katika maisha, Shetani anakuandama sana, Mungu ana mpango maalumu na maisha yako.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Government is not moved by sympathy. It is moved by ingenuity.” — Enock Maregesi Government Copy Share Image
“Elimu ni ufunguo wa maisha lakini wengine funguo zao zina kutu!” — Enock Maregesi Education Copy Share Image
“Hata kama unadaiwa, pokea simu ukipigiwa. Unaweza kupoteza fursa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.” — Enock Maregesi Slothfulness Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya… — Enock Maregesi Body language Copy Share Image
“When you bestow kindness upon someone or something you do not know what good or bad will happen to you or to… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sentensi ni mkusanyiko wa maneno unaoanza na herufi kubwa na kuisha na alama ya kushangaa, kuuliza, au nukta. Sentensi bora ni fupi,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Bara la Afrika ni tajiri kwa rasilimali kuliko mabara yote duniani. Lakini ni maskini kuliko mabara yote. Cha muhimu si kuwa na… — Enock Maregesi African continent Copy Share Image
“Kujiingiza katika madawa ni matokeo ya maisha. Hatutumii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni sisi wenyewe; tunahitaji kusaidiwa.” — Enock Maregesi Drug abuse Copy Share Image
“Vichwa vitatu vya sururu na chembe tatu za bunduki za Kalashnikov; na alama ya bahati, mafanikio, udhalimu na mwanzo mpya ya msalaba… — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Jibu nilichokuuliza. Utajibu, hutajibu?" "Nitajibu." "Usipojibu?" "Nitajipaka rangi, ya pinki." Murphy hakumwelewa. "Utanifanya chochote utakachotaka." "Mmenigundua vipi?" Murphy aliuliza akirekebisha suruali.” — Enock Maregesi Colour Copy Share Image
“John Murphy amefariki dunia. Ndege aliyotoka nayo hapa, Dar es Salaam, ndiyo aliyotoka nayo Paris na ndiyo hiyo iliyoanguka katika mazingira ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani anapenda damu kumtumia Mungu kwa faida yake kama vile Mungu anavyomtumia Shetani kwa faida yake. Mungu anamtumia Shetani kama wakala wake… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kila sumu ina kiuasumu chake. Viuasumu vya 'cyanide' ni 'amyl nitrite', 'sodium nitrite', 'cyanokit', na 'sodium thiosulfate'. Kazi ya viuasumu hivi ni… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Murphy. Sina mbinu zozote za kujikinga kama unavyojua; mbali na mafunzo ya FBI. Baada ya kumrusha nyoka wa Lisa nywele zilinisisimka. Wazo… — Enock Maregesi Alive Copy Share Image
“Mungu ni mtakatifu na kwa maana hiyo hatendi dhambi. Hivyo, hauwi wala hatesi. Tunajiua na kujitesa wenyewe. Ametupa hiari ya kuchagua mema… — Enock Maregesi Abhorrence Copy Share Image
“Ukiwaza kwa kufuata kanuni ya nguvu ya uvutano (ambayo ni kuwaza na kuamini kama kile unachokiwaza tayari umeshakipata bila hata kujua umekipataje)… — Enock Maregesi Criminal Copy Share Image
“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Katika maisha, kila mtu ni kiongozi na ni mfuasi pia kutegemeana na hali. Kiongozi hatakiwi kuwa na kiburi, wala hatakiwi kuwa na… — Enock Maregesi Conceit Copy Share Image
“Kama una akili, kama una uwezo wa kuota ndoto, na kama wewe ni mchapakazi hodari, hakuna kitakachoshindikana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Komando hata akiwa na kizibo cha bia usimruhusu awe nacho. Anaweza kukutoa shingo.” — Enock Maregesi Copy Share Image