Skip to content

Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana…

“Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na Baja California. Nikitekwa nyara na memba yoyote wa magenge hayo, kuna uwezekano mkubwa wasinifanye chochote au nisilipe chochote kwa sababu ya Wanda…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Kolonia Santita imesambaa dunia nzima. Hapa Meksiko wana magenge rafiki zaidi ya mia moja yakiwemo makubwa kabisa katika Latino ya Matamolos na Baja California. Nikitekwa nyara na memba yoyote wa magenge hayo, kuna uwezekano mkubwa wasinifanye chochote au nisilipe chochote kwa sababu ya Wanda. Fadhila ya uhalifu. Kwa sababu ya fadhila ya uhalifu; baba, au viongozi wengine wa serikali ambao watoto wao wamo ndani ya 'mpango' huo, wanatakiwa wawakingie kifua (kwa namna yoyote wanayoweza) pindi wanapoanguka katika mikono ya dola na sheria. Wasipofanya hivyo kutakuwa na vita ya ndani kwa ndani … kama unanielewa. Hivyo, kuna mtu anaitwa El Tigre – baba yake Wanda – ndiye ninayetaka unisaidie. Amemuua Marciano, na watu wengi wa Meksiko. Nataka kumlipia kisasi Marciano, na marafiki zangu wengi ambao El Tigre amewaua, hata kwa njia isiyodhahiri.””

Enock Maregesi

About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

Calls for vigilance against criminal threats and urges collective action to protect vulnerable groups.

In simple terms: Stay alert and support community protection.

Key Takeaway

Promote safety together.

Themes

security community justice

Mood

cautious serious

Type

political advocacy

When to use this quote

  • neighborhood watch
  • local governance
  • law enforcement collaboration

Key Concepts

crime prevention social responsibility

Questions to Reflect On

  • How can communities address crime without panic?
  • What measures ensure fair justice?
A Different Perspective

May incite fear or retaliation.

★ ★ ★ ★ ★ No ratings yet

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Baba quotes

Browse all 48 Baba quotes