“Serikali haifungi mtu kutokana na shinikizo la watu. Inafunga mtu kutokana na sheria za nchi.” — Enock Maregesi Government Copy Share Image
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake. Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kama Shetani hawezi kulala sisi tutalalaje? Pambana hadi siku ya mwisho.” — Enock Maregesi Fight Copy Share Image
“The best weapon for selfishness is selfishness for the cause of others.” — Enock Maregesi Copy Share Image
Be nice to the environment. Be nice to animals. Be nice to people. If you do that, you will leave a mark… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kupata maarifa kutokana na shida ni jambo la kawaida, lakini kupata maarifa bila shida ni hekima.” — Enock Maregesi Brains Copy Share Image
Sex to me is not luxury any more. It is necessity of reproduction. — Enock Maregesi Commitment Copy Share Image
“Juzi si sawa na jana na jana si sawa na leo na leo si sawa na kesho, na kesho si sawa na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu anaishi ndani ya damu, maisha ya Mungu yalikuwa yanaishi ndani ya mwili wa Yesu Kristo, anaishi ndani ya miili yetu. Unapokula… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Usipofanya kazi kwa bidii na maarifa utaendelea kuuliza Mbagala tupande daladala gani, badala ya kuuliza Mbagala tupite njia gani.” — Enock Maregesi Effort Copy Share Image
“Katika jiji la Dar watu hawaendi kazini. Wanakwenda vitani. Wania kilicho chako ukidhulumiwa. Utajiri humpendelea anayejaribu.” — Enock Maregesi Life Copy Share Image
“Dunia imekata tamaa. Matatizo ya watu yamekuwa makubwa kuliko ukombozi wa maisha yao. Sekunde moja ya toba inaweza kukupa ufalme wa mbinguni.… — Enock Maregesi Dunia Copy Share Image
“If a leader for the right reasons is blessed by God, even the people he leads will be blessed by God as… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hii ndiyo kanuni ya nguvu ya uvutano: Kuamini = kujua! Haijalishi unamwamini Mungu au haumwamini. Kugeuza kuamini kuwa kujua si kazi rahisi… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kolonia Santita ni tofauti na hadithi zingine kwa sababu ya wapelelezi wake. Wapelelezi wake ni makomandoo-wapelelezi-wanajeshi.” — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Vita ya dhambi hupiganwa katika uwanja wa akili na katika uwanja wa mwili kati ya Shetani na Mungu. Hutumia silaha kuu ya… — Enock Maregesi American dream Copy Share Image
“Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa… — Enock Maregesi Ability Copy Share Image
“Mwanampotevu dunia ilimfundisha ndiyo maana akarudi kwa baba yake akiwa amenyooka, hakuwa na maadili mema. Yusufu dunia ilimfundisha ndiyo maana akawa waziri… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanasayansi wanaamini kuwa Yesu atarudi tarehe 29 Julai 2016. Tarehe hiyo kitu kikubwa sana kitatokea katika dunia yetu kitakachosababisha tetemeko kubwa la… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua… — Enock Maregesi Body Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango… — Enock Maregesi Angel Copy Share Image
“Siku ya kwanza dhambi ya kwanza ilipotendwa Mungu alitoa kafara ya kwanza ya wanyama kwa ajili ya wazazi wetu wa kwanza Adamu… — Enock Maregesi Adam and eve Copy Share Image
“Dunia ni uwanja wa vita wa vita ya dhambi ya vita ya maisha! Kuishi maisha ya kufikirika ni kushinda vita ya maisha… — Enock Maregesi American dream Copy Share Image