“Shindana na wenzako kuwa juu zaidi katika tasnia uliyojichagulia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuona mambo ya rohoni lazima uwe na darubini ya imani. Darubini hiyo ni Yesu Kristo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kuandika hadithi ni kitu kimoja. Kuweka kanuni za fasihi katika hadithi ni kitu kingine.” — Enock Maregesi Fiction Copy Share Image
“Mihadarati ni chanzo kikubwa cha matatizo ya wanadamu. Mshahara wake ni wazimu, uhalifu na mauti.” — Enock Maregesi Drug addiction Copy Share Image
“Kuandika riwaya ya kijasusi kama Kolonia Santita lazima uishi kama Myahudi. Lazima uishi kifikra!” — Enock Maregesi Jew Copy Share Image
“Kucheza muziki si lazima utingishe mwili kama mwendawazimu. Unaweza kucheza kwa hisia.” — Enock Maregesi Dancing Copy Share Image
People don't follow ordinary people; they follow extraordinary people. — Enock Maregesi Extraordinary people Copy Share Image
“Asiyefundishwa na wazazi wake atafundishwa na dunia kwa kudharaulika.” — Enock Maregesi Idiot Copy Share Image
“Watu wengi tu vipofu wa kiroho! Ili tupone lazima tumtii na kumwamini Yesu Kristo, kama Yesu alivyomponya yule kipofu wa Siloamu kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tukio la Yesu kufa, kufufuka na kupaa kwenda mbinguni bila mabawa ni tukio kubwa kuliko yote yaliyowahi kutokea katika historia ya ulimwengu… — Enock Maregesi God exists Copy Share Image
“Kuna siku mbili tu za muhimu zaidi katika maisha yako kama alivyosema Mark Twain: Siku uliyozaliwa na siku uliyojua kwa nini ulizaliwa.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Matatizo tunayopitia si matatizo kwa ukuaji wetu. Mungu hafanyi hivyo eti kutukomoa. Anafanya hivyo kwa faida yetu ya baadaye.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake yote. Fanya kile ulichosema utafanya, hata kama sehemu ya kile ulichosema utafanya uliinukuu kutoka kwa wengine,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
The best prize life has to offer is not a chance to work hard and be something in the community. It is… — Enock Maregesi Community Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunazaliwa na kufa. Lakini hatujui tunakotoka. Wala hatujui tunakokwenda. Huenda tunatoka na kwenda katika dunia nyingine, ya ulimwengu mwingine, hivyo kutufanya wageni… — Enock Maregesi Alien Copy Share Image
“Askari wa Kirumi alimchoma Yesu mkuki ili andiko litimie. Askari huyo ambaye Biblia haikumtaja jina kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wetu,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo… — Enock Maregesi Dhambi Copy Share Image
“Mfundishe mtoto wako maadili mema kwa miaka kumi na tatu, katika umri wa miaka kumi na tatu fikra za mtoto huanza kuwa… — Enock Maregesi Boarding school Copy Share Image
“Sayari yetu hujulikana kama Dunia na jua letu hujulikana kama Sol. Dunia imo ndani ya mfumo wa jua wa Sol. Mfumo wa… — Enock Maregesi Andromeda Copy Share Image
“Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi… — Enock Maregesi Attitude Copy Share Image
“Jina la Yesu ni kubwa kuliko majina yote duniani na hata kuzimu. Lazima Shetani aliogope kuliko anavyomwogopa Bikira Maria au sakramenti za… — Enock Maregesi Jesus Copy Share Image
“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au… — Enock Maregesi Debbie-patrocinio-abrego Copy Share Image
“Mwisho wa sura si mwisho wa kitabu. Fungua ukurasa mwingine.” — Enock Maregesi Beginning Copy Share Image
“Maskini mwenye pesa nyingi ni tajiri bahili. Tajiri mwenye mifuko iliyotoboka ni tajiri badhiri.” — Enock Maregesi Economist Copy Share Image
“Kupata kitu ambacho hujawahi kupata lazima ufanye kitu ambacho hujawahi kufanya.” — Enock Maregesi Nightmare Copy Share Image
“Hutaweza kufikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu – Hata kama una kipaji au ujuzi kiasi gani.” — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante. Akikupiga mwambie asante. Akiendelea kukupiga, pigana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hababaishwi na matatizo yako. Anababaishwa na imani yako.” — Enock Maregesi Faith Copy Share Image
“Mungu hataki tuwe maskini, kwani fedha na dhahabu ni mali yake. Anachotaka kutoka kwetu, zaka.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mungu anataka tuwe na mtazamo wa ‘kila kitu kinawezekana juu ya jua’ na si ‘kila kitu kinawezekana chini ya jua’.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Kinachosababisha tupambane na Mungu ni matatizo, ambayo huletwa na watu, na tunapambana kwa silaha ya uongo.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Nitajisikia raha sana kufungwa kwa ajili ya matatizo watu.” — Enock Maregesi Heroism Copy Share Image
“Mwalimu Julius Nyerere was a father to his family. To Tanzania he was a defender of a dream.” — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Mwenye hekima huzungumza kilicho na maana! Kinaweza kuwa kizuri au kibaya.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.” — Enock Maregesi Respect Copy Share Image
“Mtu aliyepoteza kila kitu katika maisha yake ana uwezo wa kufanya chochote.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wanahitaji elimu na ajira kuwaepusha na janga la madawa ya kulevya.” — Enock Maregesi Children Copy Share Image
'I am' is the shortest and most complete sentence in the English language. — Enock Maregesi English language Copy Share Image