“Shetani ni profesa wa saikolojia! Lakini, ukiwa msiri, hatakupata.” — Enock Maregesi Confidant Copy Share Image
“Two plus two is not sometimes equal to four! It is equal to four plus one, for one is a powerful amalgamation.” — Enock Maregesi Amalgamation Copy Share Image
“Mtu akikutukana mwambie asante au samahani. Asante au samahani vina nguvu kuliko kuomba (asikutukane) au kutukana.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Sifa kubwa ya Murphy ni udadisi lakini kubwa zaidi ni unyamaume. Haogopi kitu. Anaheshimu sheria.” — Enock Maregesi Informational Copy Share Image
“Imani huchukua miaka mingi kuijenga lakini sekunde chache kuibomoa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi People Copy Share Image
Mwalimu Julius Nyerere was a father to his family. To Tanzania he was a guardian of a dream. — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Ukiipenda sana nchi yako ni rahisi sana kuichukia serikali yake!” — Enock Maregesi Bureaucracy Copy Share Image
“Wanasayansi wanasema hakuna Mungu kwa sababu hawawezi kumwona wala kumgusa. Lakini nao hawana akili kwa sababu hawawezi kuiona wala kuigusa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
The best prize life has to offer is not a chance to work hard and be something in the community. It is… — Enock Maregesi Community Copy Share Image
“Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wengi tu vipofu wa kiroho! Ili tupone lazima tumtii na kumwamini Yesu Kristo, kama Yesu alivyomponya yule kipofu wa Siloamu kwa… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tukio la Yesu kufa, kufufuka na kupaa kwenda mbinguni bila mabawa ni tukio kubwa kuliko yote yaliyowahi kutokea katika historia ya ulimwengu… — Enock Maregesi God exists Copy Share Image
“Kuna siku mbili tu za muhimu zaidi katika maisha yako kama alivyosema Mark Twain: Siku uliyozaliwa na siku uliyojua kwa nini ulizaliwa.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Matatizo tunayopitia si matatizo kwa ukuaji wetu. Mungu hafanyi hivyo eti kutukomoa. Anafanya hivyo kwa faida yetu ya baadaye.” — Enock Maregesi God Copy Share Image
“Mahatma Gandhi alipigwa risasi na kufariki dunia baada ya maisha yake kumfelisha. Lakini kifo chake kiliipatia India uhuru kutoka Uingereza. Hivyo, akafanikiwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Amani ya nafsi ni zaidi ya amani ya kisiasa. Amani ya kisiasa itaweza kupatikana endapo watu watakuwa na amani ndani ya mioyo… — Enock Maregesi Human being Copy Share Image
“Jina la Yesu ni kubwa kuliko majina yote duniani na hata kuzimu. Lazima Shetani aliogope kuliko anavyomwogopa Bikira Maria au sakramenti za… — Enock Maregesi Jesus Copy Share Image
“Majambazi huwapenda wanaowapenda. Chukulia mfano huu: Mimi na Wanda ni marafiki, OK? Baba yake, au genge la baba yake, hataweza kunidhuru au… — Enock Maregesi Debbie-patrocinio-abrego Copy Share Image
“Kwa vile taifa la Israeli lilipoteza haki yake ya upendeleo, Mungu aliahidi kuliharibu kama alivyoyaharibu mataifa ya Waamori na Wamisri. Watu wa… — Enock Maregesi Egyptians Copy Share Image
“Hatutakiwi kuishi kama raia wa Tanzania peke yake. Tunatakiwa kuishi kama raia wa dunia na watumishi wa utu, hasa katika kipindi hiki… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Yesu alikuwa binadamu ili afe kama binadamu kwa ajili ya binadamu. Alikufa msalabani ili sisi wote tuokoke. Lakini Shetani hataki hilo litokee.… — Enock Maregesi Binadamu Copy Share Image
“Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko wenyewe katika bahari hii ya hewa. Hata nyangumi na wazira waovu wanapozunguka huko na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kujenga urafiki na wanasiasa wakati mwingine ni kitu kizuri. Wanasaidia kurahisisha mambo.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Extravagance Copy Share Image
“Ukiwapa watoto wako uhuru wa shaghalabaghala au uhuru wa kila kitu watajisahau! Wape uhuru wa mahesabu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio.” — Enock Maregesi Kolonia Copy Share Image
“Kinachotokea leo kitatuathiri kesho. Mbegu tunazopanda sasa ni mazao ya msimu ujao.” — Enock Maregesi Inspirational Copy Share Image
“Mungu alitupa masikio mawili na ulimi mmoja. Tunatakiwa kusikiliza zaidi kuliko kuongea.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nimewapa watoto wangu kila kitu katika maisha isipokuwa umaskini. Lakini bado wamenishinda.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tusipambane na madawa ya kulevya peke yake. Tupambane na elimu ya madawa ya kulevya pia.” — Enock Maregesi Drug addiction Copy Share Image
“Kama huijui historia ya Zanzibar kwa nini unajiita Mtanzania? Uzalendo ni pamoja na kuijua nchi yako.” — Enock Maregesi Historia Copy Share Image
“Kadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.” — Enock Maregesi Drug abuse Copy Share Image
No matter how talented or skilled you are, you will never reach your full potential without expert guidance. — Enock Maregesi Dreams Copy Share Image
“Ikiwa hakuna kitu kinafanyika katika maisha yako usijali. Kuna kitu kinafanyika – kuingia na kutoka kwa hii pumzi.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Tunapenda kuamini kwa sababu kuamini hurahisisha mambo… Usiamini. Jua.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitamka nadhiri waziwazi Shetani atasikia. Akisikia atavuruga. Mipango yako yote aliyosikia itakuwa matatizoni.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Usiangalie nyuma kujutia vitu ulivyovifanya, angalia nyuma kujifunza kutokana na makosa uliyofanya.” — Enock Maregesi Copy Share Image