Skip to content

Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko…

“Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko wenyewe katika bahari hii ya hewa. Hata nyangumi na wazira waovu wanapozunguka huko na huko baharini, ambao pia ni mapepo, wanaochukuliwa kama viumbe wabaya na wachafu na wala mizoga, wanaishi katika bahari hii ya hewa pamoja na sisi. Ni…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Jambo ambalo Mungu anataka tulitambue ni kwamba hatuko wenyewe katika bahari hii ya hewa. Hata nyangumi na wazira waovu wanapozunguka huko na huko baharini, ambao pia ni mapepo, wanaochukuliwa kama viumbe wabaya na wachafu na wala mizoga, wanaishi katika bahari hii ya hewa pamoja na sisi. Ni muhimu, kwa ajili ya ustawi wetu wa kiroho, kusikia onyo la Paulo katika Waefeso 6:10-12 kwamba vita yetu si dhidi ya hawa viumbe, na wanapambana usiku na mchana kutetea kile ambacho wanaamini ni cha kwao kwa sababu ya haki ya kuwepo hapa kwanza kabla yetu. Dunia, Biblia inatwambia, ilikuwa makazi yao ya kwanza (Yuda 1:6, KJV). Wanatuchukia kwa sababu taratibu tunakuwa Baba na Mwana, na kwa sababu wanajua hii dunia, urithi wetu, itachukuliwa kutoka mikononi mwao na kukabidhiwa kwa wale ambao ni watoto wa Mungu, wale ambao ni marafiki wa msalaba wa Yesu Kristo.””

Enock Maregesi

About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

The spiritual battle is against unseen forces that oppose God's purpose; recognizing this helps protect our spiritual growth.

In simple terms: Spiritual forces oppose us; stay aware.

Key Takeaway

Guard your spirit against hidden opposition.

Themes

spiritual warfare faith identity heritage obedience

Mood

serious reflective

Type

theological motivational

When to use this quote

  • personal prayer
  • church community
  • spiritual discernment
  • cultural resistance

Key Concepts

cosmic conflict spiritual vigilance

Questions to Reflect On

  • How do you identify hidden spiritual threats?
  • What practices strengthen your spiritual resilience?
A Different Perspective

Even with vigilance, evil can persist and corrupt.

★ ★ ★ ★ ★ No ratings yet

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Air quotes

Browse all 6,278 Air quotes