Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo…
““Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo anavyoonekana hajasoma sana na ndivyo Shetani anavyozidi kulaumiwa kwa kila dhambi inayotendeka. Kuna elimu ya kidunia na kuna elimu ya kidini. Huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidunia, kwa sababu Shetani anajua ukiipata elimu hiyo hutajua kama yupo; na huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidini, kwa sababu Mungu anajua ukiipata elimu hiyo utajua kama yupo. Hivyo, utamdharau Mungu ukipata elimu ya kidunia, utamheshimu Mungu ukipata elimu ya kidini.””
About This Quote
This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.
Secular knowledge reduces demonic influence, religious knowledge respects God; both are needed to govern the world.
In simple terms: Both secular and religious learning are essential for balanced governance.
Seek both types of education for holistic understanding.
Themes
Mood
Type
When to use this quote
- policy making
- interfaith dialogue
- academic curricula
Key Concepts
Questions to Reflect On
- How can societies integrate both knowledge systems?
- What risks arise from neglecting either?
Overemphasis on one may lead to imbalance.