Skip to content

Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari…

“Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari wa Kirumi aliyekuwa na chongo, na mkuki, alikuwa na jukumu la kumtesa Yesu hadi kufa kwa amri ya Pilato. Yesu alipolia kwa sauti kuu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yule askari alikurupuka na kumwendea Yesu. Lakini Yesu alishakata roho…” quote by Enock Maregesi
Download Open image
““Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari wa Kirumi aliyekuwa na chongo, na mkuki, alikuwa na jukumu la kumtesa Yesu hadi kufa kwa amri ya Pilato. Yesu alipolia kwa sauti kuu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yule askari alikurupuka na kumwendea Yesu. Lakini Yesu alishakata roho. Kuthibitisha kama Yesu alishakata roho, askari alimchoma Yesu mkuki kwenye mbavu kwa nguvu zake zote. Mkuki huo ukamtoboa Yesu hadi upande wa pili, ukatoboa hata moyo wake. Askari alipochomoa mkuki, damu na maji viliruka na kupiga jicho lake bovu. Papo hapo askari akapona na kuona vizuri. Alipoona kweli amepona na kuona vizuri, askari alipiga kelele, alipiga magoti na kuomba Mungu amsamehe dhambi zake. Msamaha una nguvu kuliko dhambi. Askari huyo atakwenda mbinguni. Haijalishi umechukia watu kiasi gani. Haijalishi umetesa watu kiasi gani. Haijalishi umeua watu kiasi gani. Haijalishi umetenda dhambi kiasi gani. Mungu anachotaka kutoka kwako, tubu.””

Enock Maregesi

About This Quote

This interpretation was drafted with AI assistance. It is one reading of the quote, not the author's own explanation.

A soldier, after confronting Jesus, experiences physical and spiritual healing, leading to repentance and forgiveness.

In simple terms: Encountering divine compassion can transform even hardened hearts.

Key Takeaway

Seek forgiveness and change.

Themes

faith redemption compassion

Mood

hopeful serious

Type

spiritual narrative

When to use this quote

  • prisoner reform
  • conflict resolution
  • personal crisis counseling

Key Concepts

theology spiritual healing forgiveness

Questions to Reflect On

  • What does true repentance require?
  • How can compassion break cycles of violence?
A Different Perspective

Human resistance to change may persist despite miracles.

★ ★ ★ ★ ★ No ratings yet

More by Enock Maregesi

Explore all 471 Enock Maregesi quotes

More Apology quotes

Browse all 1,300 Apology quotes