Upendo Quote by El Jush Download Open image “Ukiona vya elea juwa vimeundwa” — El Jush ★ ★ ★ ★ ★ 3.7 out of 5 (7 ratings) Copy quoteShare Upendo
Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza Copy Share Image
“Ukiwa na Yesu hutaishi kwa kutegemea rushwa, bali utaishi kwa kutegemea sheria. Ukiishi kwa kutegemea rushwa, rushwa itaishi kwa kukutegemea wewe.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukifanya maamuzi kubaliana na matatizo yake yote. Fanya kile ulichosema utafanya, hata kama sehemu ya kile ulichosema utafanya uliinukuu kutoka kwa wengine, hata kama… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
You may love the wrong person,cry for the wrong reason.But one thing for sure,mistakes help us to find the RIGHT person. — El Jush Copy Share Image
People will question all the good things they hear a bout you but believe all the bad without a second thought. — El Jush Copy Share Image
“Nukuu ya mwandishi wa vitabu wa Brazili, Paulo Coelho, "Tunapopenda tunajitahidi siku zote kuwa wazuri zaidi kuliko jinsi sisi wenyewe tulivyo. Tunapojitahidi kuwa wazuri… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya. Ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa… — Enock Maregesi Copy Share Image