All Lc The DreamKid Quotes
-
Siasa sio mbaya ila wabaya ni wanasiasa.
Mbaya
-
They believe Tanzania it's a key, and I'm the key to Tanzania.
Believe
-
Uishiwapo neno la kusema, ni kheri ukanyamaza.
Kindness
-
Ubaya ama uzuri wa mtu haupimwi kwa muonekano wake, bali ni kwa matendo yadhahiri ya mtu.
Bali
-
Hakuna kikaukacho haraka kama machozi.
Feelings
-
Saa moja ukaayo na maumivu ni refu kuliko siku nzima iliyo na furaha.
Feelings
-
Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu.
Feelings
-
Jichunguze, pengine wewe, si kama ulivyo.
Kama
-
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao.
Kuwa
-
Anza kujenga wakati ujao, badala ya kuusifia uliopita.
Swahili
-
Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo.
Dawa
-
Umri, unatufundisha zaidi na mengi kuliko hata vitabu.
Hata
-
Kujiepusha na kidogo chenye kuumiza ni bora, kuliko kuwa na kingi chenye kukufurahisha.
Bora
-
Ujipendapo sana, hakuna atakaekushinda kwa mapenzi!
Hakuna
-
Matajiri wa dunia hii walianzia katika familia maskini. Utajiri mkubwa kwao ni ujasiri wa kushinda woga wa umaskini. Nasi tunaweza.
Dunia
-
Ulimi wa mwenye Hekima hueneza maarifa.
Maarifa
-
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa 1 tu ndipo lilomtoa peponi.
Adam
-
Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa peponi.
Adam
-
Mwenye kujidhulumu ni yule ajiwekae karibu na mtu anaemtenga, na kumnyeyekea amdhalilishae..
Mwenye
-
Asiyekuheshimu na kukujali, ni afadhali ukawa nae mbali sana..
Mbali
Browse Lc The DreamKid Quotes by Category