« All Ya Quotes · Lc The DreamKid's Page
Ya Quotes by Lc The DreamKid
- Ubaya ama uzuri wa mtu haupimwi kwa muonekano wake, bali ni kwa matendo yadhahiri ya mtu.
- Maisha ya uhakika tuishio ni yale tuishio pamoja na nafsi zetu na sio tuwapo mbele za watu.
- Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao.
- Anza kujenga wakati ujao, badala ya kuusifia uliopita.
- Kwa mara nyingi, Kutoa nasaha baada ya tukio, ni sawa na kumpa majeruhi (mgonjwa) dawa baada ya kifo.
- Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa 1 tu ndipo lilomtoa peponi.
- Tunaishi duniani hali ya kutenda maovu usiku na mchana na kudhani kuwa tutaipata pepo hali ya kusahau kuwa Adam kosa moja tu ndilo lililomtoa peponi.
- Kuna baadhi yetu hupendelea kukaa peke yao, si kwa sababu ya kiburi, ila tu kwa sababu ya upuuzi wa wengine..
More Ya Quotes
- But I learned that there's a certain character that can be built from embarrassing yourself endlessly. If you can sit happy with… — Christian Bale
- And I know this happens because I took economics, and I'd explain it to ya, but I flunked that course. Not my… — Lewis Black
- People care about my personal life. But really I'm dorky! I drink beer and go to football games. And ya know, sit… — Sophia Bush
- Ya know what I do almost every day? I wash. Personal hygiene is part of the package with me. — Jim Carrey
- Cigarettes, I won't do cigarettes, nicotine will kill ya. — Tommy Chong
- The Shades never recorded anything, Little Daddy and the Bachelors recorded a couple of records, ya. — Tommy Chong
- People who avoid the brick walls - all power to ya, but we all have to hit them sometimes in order to… — Jennifer Aniston
- We ain't meant to survive, cause it's a setup, And even though you're fed up, Huh, ya got to keep your head… — Tupac Shakur