Mbaya Quotes
- Siasa sio mbaya ila wabaya ni wanasiasa. — Lc The DreamKid
- Hasira zinaweza kumfanya mtu achukue uamuzi wowote ule 'mbaya au mzuri'' — Bob Riza
- Adui ni mtu mbaya sana kwani nia yake ni kukudhuru tu — Bob Riza
- Japokuwa pombe ni mbaya lakini ina faida katika maisha ya binadamu — Bob Riza