“Pesa itolewe kwa masharti au bila masharti chukua, kwani huyo aliyeitoa si yake. Benki, kwa mfano, ikitaka kukupa mkopo itakuwa na masharti… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hata kama umetajirika kiasi gani mpe Mungu kipaumbele cha kwanza katika kila jambo unalofanya. Toa zaka na sadaka na jitolee katika mambo… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Shetani akikupa hela chukua. Hiyo hela ameiiba kutoka kwa Baba. Ukishaichukua, toa zaka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hataki tuwe maskini, kwani fedha na dhahabu ni mali yake. Anachotaka kutoka kwetu, zaka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukitaka kuleta mabadiliko katika dunia huna budi kubadilika wewe kwanza. Ukibadilika ukawa mwema katika jamii yako umeleta mabadiliko katika dunia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Watu wenye ujuzi au vipaji wanatakiwa kwenda shule kusomea ujuzi au vipaji vyao – kwa miezi mitatu au sita angalau.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu akikubariki kipaji chako watu watasema ni laana. Maisha yako ni sawa na mto. Unakoelekea ni baharini. Lakini sasa umefika kwenye mlango wa bahari.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ningependa kujitokeza leo kutoa salamu zangu za rambirambi kwa Watu wa Musoma; kutokana na ajali mbaya ya mabasi ya J4 Express, Mwanza Coach, na… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu hutumia watu 'wajinga' na 'wapumbavu' kufanya mambo makubwa katika maisha yao na ya watu wengine. Katika Biblia, Musa aliitwa mjinga alipokiuka amri ya… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mwandishi lazima awe msomaji wa kila aina ya maandishi anayoweza kusoma. Akipanua upeo wake namna hiyo, kila atakachoandika kitaacha nukuu.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Unapokutana na mtu, kisha mtu huyo haoneshi dalili yoyote ya kutaka kusalimiwa; je, anataka umsalimie au usimsalimie? Ndugu yangu, onesha lugha ya mwili kuonesha… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Mungu ana mpango na maisha ya kila mtu hapa duniani bila kujali dini, jinsia, kabila, rangi, taifa, au umri, na kila mtu ni wa… — Enock Maregesi Copy Share Image