Smart remarks Quote by Daudi Bilingi Download Open image “KUPENDEZA mudA wowotE ukijiSikia, Siompaka upate muaikO wa harusi.” — Daudi Bilingi ★ ★ ★ ★ ★ 3.9 out of 5 (4 ratings) Copy quoteShare Smart remarks
Kuusikitikia sana muda uliopita ni dalili tosha ya kuwa hatuujali wakati tulionao. — Lc The DreamKid Copy Share Image
Bora uamini kuwa mungu yupo ili ukimkosa iwe sawa tu kuliko kutomwamini kisha ukamkuta — Bob Riza Copy Share Image
“Utajiri una changamoto nyingi. Yesu alisema ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu. Hakusema msomi.… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Migogoro inatokea kwa sababu watu wameshindwa kuheshimiana. Ukijiheshimu na ukaheshimu wengine; utaacha dunia katika hali nzuri kuliko ulivyoikuta, wakati ukiingia.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Heri kuogopwa kuliko kupendwa kama huwezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani,… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Ukifuata kanuni ya nguvu ya uvutano uhitaji kujua jinsi utakavyofanikiwa. Kazi yako ni kuwaza tu kwa namna inavyotakiwa. Waza na amini kwa asilimia mia… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Maombi yako yasipojibiwa usikate tamaa, Mungu alishakusikia na tayari alishaandaa malaika wa kukuletea jibu. Jibu wakati mwingine huchelewa kufika kwa sababu ya nguvu za… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda… — Enock Maregesi Copy Share Image
“Kaikki kritiikki on valikoivaa ja tarkoituksenhakuista, muunlaista kritiikkiä ei ole.” — Erno Paasilinna Copy Share Image
“Kila mtu hapa duniani ni jirani yako. Hakuna mtu mwingine hapa ulimwenguni isipokuwa sisi. Lazima tujifunze kuishi pamoja.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Muda haututoshi. Tunajua mizigo hiyo ni ya nani. Tunajua nani aliua maafisa wetu wa polisi na maafisa wa polisi wa Meksiko na Marekani na wapita njia na kwa nini alifanya hivyo. Hatujui kwa hakika imefichwa wapi. Kuwakamata wahusika ni kazi nzito, ndugu wajumbe. Inahitaji ujasiri wa kupindukia … na kujitoa mhanga. Kuzuia mizigo ya CS-14, na kumkamata kiongozi wake, lazima… — Enock Maregesi Copy Share
If you are rejected by your friends, there is someone special for you, to make you smile in your heart. — Daudi Bilingi Copy Share Image
HaijalishI UnamuonekanOganI, yOTE ni Kazi Ya MUNGU. so, JIKUBALI. @All…!!!! — Daudi Bilingi Copy Share Image
Being faithful is what most people fail to be, But God has been faithful to us. — Daudi Bilingi Copy Share Image
Safari ya mipango na malengo katika maisha ni ndefu, lakini lazima ufike kwa uwezo wa YEYE MUWEZA wa YOTE… By Daudi Bilingi. a.k.a DAV… — Daudi Bilingi Copy Share Image
Why are you staring at me? This might be great for you, but it's awful for me. — Anonymous Copy Share Image
Teacher: 'Why are you late?' Me: 'Why does it matter. You still get paid, right?' — Anonymous Copy Share Image
Buying a New Farm A blonde and a brunette decide to start a farm together. They add up their life savings into a total… — Anonymous Copy Share Image
Don't cheat boy tell her how you feel if you think the other girl is for u ,but make sure it not just physical… — MrCountry Copy Share Image
A police officer came up to me yesterday and said, 'Where were you between four and six?' I said, 'Kindergarten' — Anonymous Copy Share Image
The only thing you should be trying to please in this world is god, because: Humans are dishonest Humans are evil Humans are greedy… — Emanuel Sebastiao Copy Share Image
Always be kind to those who love you; they deserve it, and be even kinder to those who hate you; they'll hate it. — SangFroid Stalker Copy Share Image
There are over 7,000,000,000 or 7 billion people on this planet called Earth with each person saying millions of things for 3 billion seconds… — MrAwesome Copy Share Image