“Hekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.” — Enock Maregesi Copy Share Image
“Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wanaweza kutawaliwa. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wanaweza kukuumiza. Ishirini na nne hadi ishirini na saba unaweza kuweka malengo nao yenye natija. Ishirini na saba hadi… — Enock Maregesi Copy Share Image